IGP amekuwa mwiba mkali sana kwa wafuasi wa mbowe.
genge la kihalifu la mzee mbowe linasumbuka sana na IGP.
 
Said Mwema kwa mtazamo wangu ndio IGP bora kuliko wengine.

Uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na Wananchi ulikua mzuri.

Hivi wakati ule watu wakitoka mabenki kuchukua pesa zao wanakula shaba, IGP alikuwa ni nani?
 
SIO RAHISI HIVYO.. USICHEZE NA ILE LIFE YA MA V8, ALICHOFANYA NDUNGAI SIO KITENDO RAHISI WALA CHA KUBEZWA. WENGINE NI MPAKA WAFUKUZWE. HIVIHIVI HATOKI NG'OOOOOO
Bora abaki tu ni mgalatia mwenzetu. Akitoka hapo piga ua Kobaaz ndo atateuliwa.
 
Kwa taarifa yako tu Mzee wa watu alisha omba kujiuzulu tangu enzi za Magu. Magu akamwambia ata staafu naye mama ndio kabisa kwahiyo mwache tu ndio maana hata juzi kasema waziri atajibu kiufupi amechoka. Na anatamani kupumzika japo mamlaka
 
Kwa taarifa yako tu Mzee wa watu alisha omba kujiuzulu tangu enzi za Magu. Magu akamwambia ata staafu naye mama ndio kabisa kwahiyo mwache tu ndio maana hata juzi kasema waziri atajibu kiufupi amechoka. Na anatamani kupumzika japo mamlaka
Kwa hiyo ujambazi ndani ya jeshi la polisi umeshindikana?
Ujambazi ulikuwa unafanywa na maafisa wa vyeo vya chini, sasa ma Inspector wa Polisi ndio wanafanya ujambazi.
Pathetic!
 
Kwa taarifa yako tu Mzee wa watu alisha omba kujiuzulu tangu enzi za Magu. Magu akamwambia ata staafu naye mama ndio kabisa kwahiyo mwache tu ndio maana hata juzi kasema waziri atajibu kiufupi amechoka. Na anatamani kupumzika japo mamlaka
Sirro ameshindwa kudhibiti Polisi hebu mshauri aondoke kwa manufaa ya nchi
 
Halafu hiyo template ya PR zao waibadilishe. Eti “askari wetu wakakamavu wakajibu mapigo na kuweza kuwapiga risasi majambazi wote . Kwa bahati mbaya walipofikishwa hospitali waliweza kufariki”!

Sh*t, we ain’t that fck’n dumb guys! Stop insulting our intelligence, p’se!
 
Mwema aliofanya kazi nzuri enzi zake, kwa kipindi Cha uongozi wa Simon Sirro mengi mazuri kafanya.Miaka 5 iliyopita hatukusikia mabasi na malori kusindikizwa na askari Sirro alikuwa sahani moja na majambazi hadi yakaomba poop.Hukuwahi kusikia uporaji kwenye mabenki.Kibiti magaidi walijifanya kuvimba Cha moto walikiona.Hakuna albino alipoteza maisha kipindi Cha Sirro.Simon Sirro anahitaji kujengewa mnara wa kumbukumbu yenye picha yake
 
... hayo mengine nikipata muda nitarudi; ila hilo la albino (na vikongwe) yalikuwa makafara kusafisha njia.
 
Mkuu sahihisha andiko lako.
Tatizo la Kibiti polisi waliingia kichwa kichwa na yaliyotokea, hasa ambush za kigaidi hatujasahau.
Ile ilikuwa joint operation ya vyombo vya ulinzi na usalama.
Makomandoo wa JWTZ kule walinoa mbinu zao, na kufyekekea mbali magaidi.
 
Upo sahihi
 
Simon Sirro alikuwa mtu mwema sana mpaka alipokuja kuharibiwa na lile SHETANI la Chato.

Asingetekeleza UDHALIMU wa Magufuli pengine angefanyiwa yeye Unyama.

Yasemkana Sirro ni Mkatoliki safi na mcha Mungu ambaye malengo yake yalikuwa awe Padre baada ya kufika Seminari Kuu hadi kuvaa mkanda wa U-FRATERI.

Hata Mimi wa sasa namshauri ajiuzulu ili kujitenga na uchafu wa Polisi
 
Tuna Genge la Majambazi chini Jambazi Kuu Zero. Mpaka sasa yanauana yenyewe kuficha siri za maovu yao
 
Huyu bora aliuacha U-FRATERI vinginevyo asingeyaweza yajayo
 
Mimi namkumbuka alivyopambana vyema na majambazi ya toka nchi jirani.
Yeye na kamanda Venace Tossi walikuwa mahiri sana.
 
Anafanya kazi alizopewa kufanya. Kwani hujui?
Mama wa michongo katika unafiki wake ...halafu nikikuta baadhi ya sehemu unakoti neno la Mungu huwa nafunga kinyeo ili usipate aibu ...mfyuuu
 
Tza IGP alikuwa Said Mwema na angalau Mangu kidogo hawa walifanya reformation kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…