Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini.
Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua.
Kwann nasema hiv, mm niliingia mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha Mbowe, yule dada aliaminiwa sana na chama, sasa hv hajihusishi saaana na chama kwa sababu aliwahi kupata matatizo wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020 akakaa sana jela, chama cha Mbowe hakikumsaidia lolote had anatoka jela, amepambana sana lkn haoni faida, nikamuomba tuwe na mahusiano na awe ananipa ishu zote za chama ndani ya Wilaya, nikawa nampoza poza fedha kidogo.
Yule dada amenieleza yote, kwanza chama chao kina kawaida ya kupeleka watu kutoka makao makuu kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vijana 2 kutoka kila kata ili wao wakafundishe na wenzao jinsi ya kuharibu miundombinu wakati wa uchaguzi, nakumbuka mwezi wa 3 au 4 walienda katika mawilaya hasa wilaya nayoisema mm, walipokewa vzr lkn walishindwa kutoa mafunzo kwa sababu hawakulipwa, kila mwanachama alieombwa alisema hana hela, wakakaa wiki wakaondoka, mm kila walichokuwa wanakifanya nlikuwa naambiwa na huyo dear wang.
Kwahiyo kilichosemwa na msemaji wako sikubishii:
Nakuahidi kukupgia cm au kutafuta namba zako ktk tovuti ya Polisi pindi watakapoletwa tena kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nataka nithibitishe kuwa siandikagi porojo