Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hakika hakika Dunia ni watu.
Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana.
Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa.
Nawatonya dawa mojawapo nzuri ya kuua limbwata ulilopewa na kimada au mke.
Dawa ni kunywa Mkojo wako vijiko viwili au pafu mbili za mfuniko wa chupa ya maji hasa ule mkojo wako wa kwanza wa saa9 ucku mpaka saa11 alfajiri, wewe amka nenda kakojoe kisha kunywa huko huko chooni, fanya hivyo ndani ya siku tatu utashangaa.
Japo mkojo ni mkojo tu hata muda wowote baada ya kutoka kula chakula ambacho huna imani mwanamke alieandaa chakula hicho.
chonde chonde sambaza ujumbe huu tuokoe wanao angamizwa.
Huu ujumbe sio masihara take it seriously na inshallah Mungu awajalie nyote.
Wadiz