Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkojo unatibu vidonda vya tumbo pia .. unaweza ukatumia kama alivyosema mleta Uzi yaan ukanywa mapafu mawili au matatu ya asubui Yale... Sema kikubwa upimwe afya yako usiwe na magonjwa kama UTI na mengine kama hayo ... Ikibid kunywa maji usiku ili ukiamka asubui mkojo wako usiwe mchafu Sana kwa maana ya ile rangi yake isiwe concentrated Sana .. unaweza ukatumia kwa siku tatu mfulizo au ukawa unatumia mara Moja Moja au mbili kwa mwez kulingana na maendeleo yako ya ugonjwa wako ..Sijawahi thibitisha hoja ya mwandishi wa uzi ila nakubaliana nae kwenye matumizi ya mkojo kama tiba.
Kati ya 2002-2005 kuna mdogo wetu alipata mapunye kutokana na kuchangia vitana kwenye shule za boarding. Kutokana na ugonjwa huo ilibidi awe ananyoa kipara na alitumia dawa nyingi za hospitali (za kumeza na cream za kupaka) bila mafanikio.
Kuna wakati hata dawa za kimasai zilitumika bila mafanikio.
Finally, akapatikana mtaalam wa magonjwa ya ngozi kwenye moja wapo ya hospitali zetu hapa bongo.
Jamaa alitoa solution ambayo hakuna aliyetarajia na ndio iliyomponyesha dogo.
It was very simple, kinga mkojo wako then upake kichwani asubuhi na jioni [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkojo kama mkojo ni noma sana...