Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

Wewe ulishawahi kunywa, au ndiyo unatusakizia sisi tu
 
Kuhusu damu ya hedhi usiongee njoo pm nikamwambie extremely dangerous
 
Kuna vitu vya mzaha mzaha ila sio hii ishu wasioamini ongeeni na wazee na wamama wanaojua Mila ndio mtaelewa
 
nina swali lingine mkuu mleta post naitaj usaidizi je kama hujawekewa katika chakula bali kupitia manuizo na mapepo mabaya je njia iyo inaponya pia natak jua maana mimi pia sielewi uwenda nimefanyiwa ayo.
 
Mkuu, mimi ni mnywaji wa chang'aa. Nikikojoa mkojo huo, mbu wote chooni wanapepesuka. Nyumba nzima inanukia ugwadu. Sasa, nikinywa huo mkojo nitakuwa hai kweli?

Kwani siruhusiwi kunywa wa mke wangu?
 
tatizo linakujaje mkuu ukirogwa unakuwa hujui kama umerogwa
Ukilongwa huwa inajulikana... ndo maana huwa tunashauriwa sana tuwe tunafanya meditations.

Ukifanya meditations ni kama una communicate na roho yako, kama kuna kitu hakipo sawa lazima kuna hisia utazipata (instincts), aidha unalogwa au kuna kitu kibaya kinataka kufanyika dhidi yako
 
meditation inafanyikaje na ina maandalizi yapi mkuu apo namaanisha usafi wa kimwili na mavazi na muda sahihi wa kumeditate.
 
Sijawahi thibitisha hoja ya mwandishi wa uzi ila nakubaliana nae kwenye matumizi ya mkojo kama tiba.
Kati ya 2002-2005 kuna mdogo wetu alipata mapunye kutokana na kuchangia vitana kwenye shule za boarding. Kutokana na ugonjwa huo ilibidi awe ananyoa kipara na alitumia dawa nyingi za hospitali (za kumeza na cream za kupaka) bila mafanikio.
Kuna wakati hata dawa za kimasai zilitumika bila mafanikio.
Finally, akapatikana mtaalam wa magonjwa ya ngozi kwenye moja wapo ya hospitali zetu hapa bongo.
Jamaa alitoa solution ambayo hakuna aliyetarajia na ndio iliyomponyesha dogo.
It was very simple, kinga mkojo wako then upake kichwani asubuhi na jioni [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkojo kama mkojo ni noma sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…