Sijawahi thibitisha hoja ya mwandishi wa uzi ila nakubaliana nae kwenye matumizi ya mkojo kama tiba.
Kati ya 2002-2005 kuna mdogo wetu alipata mapunye kutokana na kuchangia vitana kwenye shule za boarding. Kutokana na ugonjwa huo ilibidi awe ananyoa kipara na alitumia dawa nyingi za hospitali (za kumeza na cream za kupaka) bila mafanikio.
Kuna wakati hata dawa za kimasai zilitumika bila mafanikio.
Finally, akapatikana mtaalam wa magonjwa ya ngozi kwenye moja wapo ya hospitali zetu hapa bongo.
Jamaa alitoa solution ambayo hakuna aliyetarajia na ndio iliyomponyesha dogo.
It was very simple, kinga mkojo wako then upake kichwani asubuhi na jioni [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkojo kama mkojo ni noma sana...