Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

Acha niendelee kuwa zezeta daah siwezi
Mikojo ya nyumba ndogo au michepuko tunakunywa Sana Tena bila kukusudia, majivu ya nywele zao za chini tunayanywa Sana kwenye juisi na soda.
Sasa kijiko kimoja Cha mkojo wetu wenyewe kitushinde?
Wengine mmekula Hadi vipaja vya kuku vikivyoingizwa migodini Tena kipindi mgodini Ni rangi ya Simba tupu ( kwa mchepuko sili kipaja au shingo)
Sasa mkojo utushinde. Leo ntajaribu.
 
Ukweli mchungu huu, wanaume tunapitia mengi aisee
 
Tena chakula chenye kimewekwa dawa ya Limbwata kinakuaga kitamu sana
 
Usije kusema ukila na mavi ni dawa ya utajiri


Ndiyo mavi yaliyochomwa kama mahindi ni dawa ya utajiri.--- unajifukiza ule moshi wake, jaribu utaleta mrejesho.
 
Ahahahahaaaa ni mkojo huuhuu uliojaa U.T.I kutoka visima 8 tofauti au kuna mwingne
 
Inafanyikaje hiyo
 
Kunywa kojo ni uzezeta kuliko uzezeta wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…