Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

Mngetuelekeza namna ya kujua kama umefanyiwa limbwata ya aina yoyote au kulogwa
 
Mkojo unatibu vidonda vya tumbo pia .. unaweza ukatumia kama alivyosema mleta Uzi yaan ukanywa mapafu mawili au matatu ya asubui Yale... Sema kikubwa upimwe afya yako usiwe na magonjwa kama UTI na mengine kama hayo ... Ikibid kunywa maji usiku ili ukiamka asubui mkojo wako usiwe mchafu Sana kwa maana ya ile rangi yake isiwe concentrated Sana .. unaweza ukatumia kwa siku tatu mfulizo au ukawa unatumia mara Moja Moja au mbili kwa mwez kulingana na maendeleo yako ya ugonjwa wako ..
Mimi ni mmoja wao nilokuwa nasumbuliwa na vidonda saiz niko sawa kabisa .NB: dawa ya mkoja ililetwa kama mada hapa hapa JF Doctor..
 
KWELI WATANZANIA NI WABISHI, YAANI KUTOKA COMMENT YA KWANZA MPAKA YA MWISHO BADO WAPO WATU WANAOPINGA TU NA KUULIZA MASWALI!
Tuwe tunajifunza vitu vyetu vipya sio kuhoji muda wote huku vya wazungu tukipokea tu bila kuhoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…