Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Umezaliwa dar hujawahi Toka nje hebu Toka siko Moja uende huko duniani ndiyoo utajua dar ni Kijiji kilichochangamka mbaya zaidi nauli hunaHuyu anaesema dar ni kijijini natoa mchango kwenye gharama za matibabu yake
Sijatembea sana ila nimekaa mikoa 7 TanzaniaUmezaliwa dar hujawahi Toka nje hebu Toka siko Moja uende huko duniani ndiyoo utajua dar ni Kijiji kilichochangamka mbaya zaidi nauli huna
Sijatembea sana ila nimekaa mikoa 7 Tanzania
😂😂😂😂mecheka kweli yaanShida ya watu wa dar wanapenda kushindana sana
Umemuona mwezio jioni kaaenda kitambaa cheupe na wewe huyo kesho unamuaga naenda samaki samaki umebeba hela ya kodi
Nimekwambia nenda huko duniani na si mikoani utajua dar ni kijijiSijatembea sana ila nimekaa mikoa 7 Tanzania
Ukweli mtupuDaaaa watu wanamaisha magumu balaa ,muda wote wanatoa jasho na hasira usoni .....
Hawana tabasamu kabisa usoni ,muda wote wamenuna ,jua linawapiga mpaka mfukoni ...
Ukiwa kituo cha daladala utaona nyuso zao zilivochoka na kukasirika [emoji848][emoji848][emoji91][emoji91][emoji3][emoji3][emoji3]
😄😄 anakuhesabia unavyotumia unit zake za umeme as if gharama ya Unit ya umeme kwa dar Ni tofauti na ya mkoani ambako wakija hua wanashinda wanaangalia tv kwny majumba ya watu kabla jioni hajatoka kuzunguka mji ili aje awahadithie jinsi gani ambavyo ameona maeneo mazuri ya ku-invest hapo mkoani kwenu ambako nyie wa mkoani hamtumii fursa.Hivi kumbe TV nayo ni big deal kwa ulimwengu wa Leo ?
Ona Sasa Tanzania nzima umetembea mikoa 7Sijatembea sana ila nimekaa mikoa 7 Tanzania
Aisee,hongera sanaNjoo huku lushoto,mboga za majani hatununui
Ukilinganisha na huko unapoengelea ni kweli dar sio sehemu ila ukilinganisha na kule ulikozaliwa wewe dar ni sehemuNimekwambia nenda huko duniani na si mikoani utajua dar ni kijiji
sio kutembea , nimekaa mikoa saba swala la kutembea ni lingine kabisa na kiukweli kabisa sijawai kutoka nje ya AfricaOna Sasa Tanzania nzima umetembea mikoa 7
Vipi nje ya Tz umefika nchi gani?
💯💯💯💯😄😄 anakuhesabia unavyotumia unit zake za umeme as if gharama ya Unit ya umeme kwa dar Ni tofauti na ya mkoani ambako wakija hua wanashinda wanaangalia tv kwny majumba ya watu kabla jioni hajatoka kuzunguka mji ili aje awahadithie jinsi gani ambavyo ameona maeneo mazuri ya ku-invest hapo mkoani kwenu ambako nyie wa mkoani hamtumii fursa.
Utamsikia tu:
1.Lile eneo ukipiga lodge yako ya maana, hakikisha Ina maji ya Moto(heater) ukaweka na jiko lako la kitimoto unatoboa fasta.
2.Mara aseme nimejaribu kucheki English medium zilizopo huku naona bado bado Sana hii ni fursa Sana.
3.Baadae anawaambia Ni namna gani anataka anunue maeneo makubwa ya kilimo aje afanye kilimo Cha kisasa huku akisema si unajua tena nguvu zinapungua ni muhimu niwekeze huku mkoani.😄😄 Mtasubiri huo uwekezaji.
4.Nimekumbuka hua wanauliza tena hivi kutoka sehemu flani mpk sehemu flani Ni Kilometers ngapi?Mkishamwambia unauliza fasta barabara ikoje akishaambiwa anasema hio Ni fursa ukiweka Coaster yako Ni uhakika kupiga pesa.
Watu wa Daslam wanajionaga wao ndio 'smartest person in the room',nyie wa mkoani Ni mafala flani hivi.
Kumbe wao Ni wazee wa Day dreaming na maneno mengi yenye lafudhi ya kidaslam 😄😄
Kwa sisi tuliotembea mdogo wangu Dar ni Kijiji elewa hiloUkilinganisha na huko unapoengelea ni kweli dar sio sehemu ila ukilinganisha na kule ulikozaliwa wewe dar ni sehemu
sio kutembea , nimekaa mikoa saba swala la kutembea ni lingine kabisa na kiukweli kabisa sijawai kutoka nje ya Africa
Sawa 😁Kwa sisi tuliotembea mdogo wangu Dar ni Kijiji elewa hilo
Huo ndio ujinga wao..huwaza maisha ya tv na msosi daah..hizo ni za kiunafunzi na wale choka joblessHivi kumbe TV nayo ni big deal kwa ulimwengu wa Leo ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaaa mnooo hapa. LolMim nmekaa na mtu hanisaidii chchte ndani hata kufua nguoz ake hawezi alikua analala sebuleni me naondoka namuacha anaamka sa tano. Bills ni kubwa kinyama maji nilipe 25 umeme elf 15.
Muda huo bado nikipika nyama kg moja nyingine nikiweka kweny kafrije kangu nakuta imedokolewa muda mwingine nampakulia mtoto chakula nakuta ety anaonja tena kwa mikono yake imekaa kama spanner.
Mungu anisamehe nlimtimua tu maan alinichosha kabisa nikinunua ety li jitu linakunywa maziwa ya mtoto ety anasema anapenda sana maziwa ya baridi
Ndugu zangu usikaribishe watu ni bora wakae huko huko kwa ndugu zao sijui wapi mim nmejifunza kabisa. Sitak aiseh.
Mim sa hiv sikwepeshi kabisa Bora nikae nadg angu akikosea namuelekeza basi maishae mengine yanasonga.
Kama umebeba mahindi na mchele na kuku fikia kwanguNakaribia Chalinze na Mwenyeji wangu hapokei simu tangu nilipowasiliana naye asubuhi kumtaarifu napanda Bus.