Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Daaaa watu wanamaisha magumu balaa ,muda wote wanatoa jasho na hasira usoni .....

Hawana tabasamu kabisa usoni ,muda wote wamenuna ,jua linawapiga mpaka mfukoni ...

Ukiwa kituo cha daladala utaona nyuso zao zilivochoka na kukasirika [emoji848][emoji848][emoji91][emoji91][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukweli mtupu
 
Hivi kumbe TV nayo ni big deal kwa ulimwengu wa Leo ?
😄😄 anakuhesabia unavyotumia unit zake za umeme as if gharama ya Unit ya umeme kwa dar Ni tofauti na ya mkoani ambako wakija hua wanashinda wanaangalia tv kwny majumba ya watu kabla jioni hajatoka kuzunguka mji ili aje awahadithie jinsi gani ambavyo ameona maeneo mazuri ya ku-invest hapo mkoani kwenu ambako nyie wa mkoani hamtumii fursa.

Utamsikia tu:

1.Lile eneo ukipiga lodge yako ya maana, hakikisha Ina maji ya Moto(heater) ukaweka na jiko lako la kitimoto unatoboa fasta.

2.Mara aseme nimejaribu kucheki English medium zilizopo huku naona bado bado Sana hii ni fursa Sana.

3.Baadae anawaambia Ni namna gani anataka anunue maeneo makubwa ya kilimo huko mkoani kwenu aje afanye kilimo Cha kisasa huku akisema si unajua tena nguvu zinapungua ni muhimu niwekeze huku mkoani.😄😄 Mtasubiri huo uwekezaji.

4.Nimekumbuka hua wanauliza tena hivi kutoka sehemu flani mpk sehemu flani Ni Kilometers ngapi?Mkishamwambia unauliza fasta barabara ikoje akishaambiwa anasema hio Ni fursa ukiweka Coaster yako Ni uhakika kupiga pesa.

Watu wa Daslam wanajionaga wao ndio 'smartest person in the room',nyie wa mkoani Ni mafala flani hivi.

Kumbe wao Ni wazee wa Day dreaming na maneno mengi yenye lafudhi ya kidaslam 😄😄
 
Nimekwambia nenda huko duniani na si mikoani utajua dar ni kijiji
Ukilinganisha na huko unapoengelea ni kweli dar sio sehemu ila ukilinganisha na kule ulikozaliwa wewe dar ni sehemu
Ona Sasa Tanzania nzima umetembea mikoa 7
Vipi nje ya Tz umefika nchi gani?
sio kutembea , nimekaa mikoa saba swala la kutembea ni lingine kabisa na kiukweli kabisa sijawai kutoka nje ya Africa
 
😄😄 anakuhesabia unavyotumia unit zake za umeme as if gharama ya Unit ya umeme kwa dar Ni tofauti na ya mkoani ambako wakija hua wanashinda wanaangalia tv kwny majumba ya watu kabla jioni hajatoka kuzunguka mji ili aje awahadithie jinsi gani ambavyo ameona maeneo mazuri ya ku-invest hapo mkoani kwenu ambako nyie wa mkoani hamtumii fursa.

Utamsikia tu:

1.Lile eneo ukipiga lodge yako ya maana, hakikisha Ina maji ya Moto(heater) ukaweka na jiko lako la kitimoto unatoboa fasta.

2.Mara aseme nimejaribu kucheki English medium zilizopo huku naona bado bado Sana hii ni fursa Sana.

3.Baadae anawaambia Ni namna gani anataka anunue maeneo makubwa ya kilimo aje afanye kilimo Cha kisasa huku akisema si unajua tena nguvu zinapungua ni muhimu niwekeze huku mkoani.😄😄 Mtasubiri huo uwekezaji.

4.Nimekumbuka hua wanauliza tena hivi kutoka sehemu flani mpk sehemu flani Ni Kilometers ngapi?Mkishamwambia unauliza fasta barabara ikoje akishaambiwa anasema hio Ni fursa ukiweka Coaster yako Ni uhakika kupiga pesa.

Watu wa Daslam wanajionaga wao ndio 'smartest person in the room',nyie wa mkoani Ni mafala flani hivi.

Kumbe wao Ni wazee wa Day dreaming na maneno mengi yenye lafudhi ya kidaslam 😄😄
💯💯💯💯
 
Ukilinganisha na huko unapoengelea ni kweli dar sio sehemu ila ukilinganisha na kule ulikozaliwa wewe dar ni sehemu

sio kutembea , nimekaa mikoa saba swala la kutembea ni lingine kabisa na kiukweli kabisa sijawai kutoka nje ya Africa
Kwa sisi tuliotembea mdogo wangu Dar ni Kijiji elewa hilo
 
Hivi kumbe TV nayo ni big deal kwa ulimwengu wa Leo ?
Huo ndio ujinga wao..huwaza maisha ya tv na msosi daah..hizo ni za kiunafunzi na wale choka jobless
Ila kichoongelewa hapa hawajui km tunaongelea mgeni aliye full package ambae ukija mkoa wake unafurahia uwepo wake kule kwenye mambo kibao..

Hawajui maisha ya huko wanapokimbilia au wanapopatamani kuja kwenda siku moja(ulaya & U.S.A) kanuni ya kwanza ya ushkaji wa karibu lazma apajue unapoishi aidha pawe duni au bora na hakuna atakayejali hilo life.
Hv huwa hawajuuliz likitokea na la kutokea na huyo mwamba ambae huonekana una bang nae kwenye maeneo alafu uje utoe maelezo hupajui kwake..na wakat kila ukienda mjini mnakuwa pamoja viwanja..

Ila majamaa yanapenda kupewa OFFER sijui kwanini..japo sio wote lakini
 
Mim nmekaa na mtu hanisaidii chchte ndani hata kufua nguoz ake hawezi alikua analala sebuleni me naondoka namuacha anaamka sa tano. Bills ni kubwa kinyama maji nilipe 25 umeme elf 15.
Muda huo bado nikipika nyama kg moja nyingine nikiweka kweny kafrije kangu nakuta imedokolewa muda mwingine nampakulia mtoto chakula nakuta ety anaonja tena kwa mikono yake imekaa kama spanner.

Mungu anisamehe nlimtimua tu maan alinichosha kabisa nikinunua ety li jitu linakunywa maziwa ya mtoto ety anasema anapenda sana maziwa ya baridi

Ndugu zangu usikaribishe watu ni bora wakae huko huko kwa ndugu zao sijui wapi mim nmejifunza kabisa. Sitak aiseh.
Mim sa hiv sikwepeshi kabisa Bora nikae nadg angu akikosea namuelekeza basi maishae mengine yanasonga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaaa mnooo hapa. Lol
 
Back
Top Bottom