Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche yuko pale, Lwaitama yuko kule, Wenje yuko pale, Bon Yai kule, wenyeviti wa kanda wako huko mikoani nao wanatoa matamko, mara cjui Ntobi, mara Yericko mara Martin mara Mdude, aisee. Hujakaa sawa Pambalu huyoo.
Aisee, sasa tuchukulie mmeshinda nafasi ya urais itakuwaje kwenye nafasi ya PM, MAwaziri, Ubunge wa kuteuliwa, Spika, Jaji Mkuu, na mavyeo mengine si mtakuwa mnapeana tu kama njugu.
Uhuni mtupu kwenye chama hiki