Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 469
- 724
SqwaItakuwa mada ya siku nyingine katika Uzi mwingine Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SqwaItakuwa mada ya siku nyingine katika Uzi mwingine Mkuu
Weka namba basi nakukumbusha tu najua umesahauKaribu Mkuu
Weka namba basi nakukumbusha tu najua umesahau
Safi kabisa!!na msimamo wetu hatuwataki masingle mother
AiseeSafi kabisa!!
Vyema pia msiwatongoze kabisa ili kuepuka usumbufu nao
nani yuko na mood ya kutongoza single motherSafi kabisa!!
Vyema pia msiwatongoze kabisa ili kuepuka usumbufu nao
Kwa tabia hii ndiomana naitwa mjeuri, mjivuni, mwenye dharau, I tell them am the king huwezi kuwa malkia kwenda zako siabudu K naipata anytime, nawaambia sina mawazo ya katiba mpya mimi mwenyewe ni katiba tosha.
Bravoooooooo! WadiiiiiiiiiiiiizKwa tabia hii ndiomana naitwa mjeuri, mjivuni, mwenye dharau, I tell them am the king huwezi kuwa malkia kwenda zako siabudu K naipata anytime, nawaambia sina mawazo ya katiba mpya mimi mwenyewe ni katiba tosha.
Japokuwa umetufokea Sana lakini tumekuelewa mkuu.Ushauri wako tutaufanyia kazi.
Huo ukoloni sa
HakikaSawa rafiki.