Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Umeona eeh! Mambo ndiyo yameanza kwa kupitia Tigo
 
Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi.
Hakika Lissu ataendelea kuwa msaliti.

Siku zote "serikali" hupingwa na wananchi...

Tofautisha dhana ya "serikali" na "nchi/taifa". Serikali huja na kuondoka. Taifa/nchi ipo maisha yake yote hapo...

Zipo serikali mbaya, katili, kichaa na zipo serikali nzuri na safi kabisa lakini hii utaipata mbinguni. Hapa duniani huwezi kuipata serikali nzuri, takatifu....

Ya chini ya Magufuli ilikuwa mbaya, ya hovyo kabisa, ya kikatili na ndivyo ilivyo ya Samia maana alirithi uhovyo na ukatili huohuo. Itaondoka kwa njia ileile. Hii ni natural principle....

Serikali zote zilizopo duniani zina kasoro na ndiyo maana wananchi huzipinga na kuzizomea na kuziondoa na kuweka nyingine...

Tuambie, ni lini serikali yoyote ya taifa/nchi yoyote huwa ni "rafiki" wa wananchi..?

Serikali huja na kuondoka, nchi/taifa lipo hapo siku zote. Ndiyo maana serikali chini ya Magufuli ilikufa mara yeye alipokufa lakini nchi/taifa la Tanganyika lipo palepale...

Imekuja serikali chini ya Samia. Nayo itapingwa na kuzomewa bila haya wala aibu na mwisho itakufa yenyewe na yeye Samia atakufa na itakuja serikali nyingine. Mzunguko unakuwa hivyo....
 
R I P Legend the true son of Africa.
Wasaliti ni lazma washughulikiwe tunapgana vita halafu ugeuke .
 
kwa hiyo lisu ndo msaliti a taifa alietajwa katika hiyo clip?
 
Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
wasaliti Mungu alikwisha wapumzisha. Wengine ndio wanaojaribu jaribu, tunawakabidhi madaraka wakiingia ofisini wanatusaliti. Sijui kama tutaendelea kumtegea Mungu awapumzishe au tufuaye mfano wake. Msaliti namba one ni yule aliekua ofisini acha hawa wanaopiga kelele huko nje. Mabichwa kome hamuoni
 
Hili halina ubishi mkuu. Magufuli ndiye aliyeamuru Lissu auliwe na kikosi cha Makonda. Ila Mungu akaweka mkono wake dhidi ya ile hila
Aidha, hata Rais Samia tuhuma anazotupiwa za kuhusika na tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Lissu kule Dodoma yeye pia tuhuma hizo zinamhusu Moja kwa Moja. Rais Magufuli siyo Mtuhumiwa pekee wa shambulizi lililofanywa dhidi ya Tundu Lissu, hata yeye pia anahusika kwa sababu Serikali ya 'MaguSami' (i.e. Magufuli+Samia) ndio iliyokuwa madarakani wakati ule tukio hilo lilipotokea.
 
Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Anayeunga mkono mauaji ni muuaji na muuaji yeyote anatekeleza kazi za shetani naye ni shetani!!
Kijana Ben saanane aliuliza tuu ELIMU ya kiongozi Leo wazazi wake hawajapewa hata mwili wausitiri...
Kama unadhani ushetani huu utakuacha salama wewe na mauaji menzio.... SORRY!!
Ba'mkwe wenu kaenda,ma'mkwe atafata na ninyi vitoto pia mtakufa Kwa aibu mtaomba msaada hata msisaidikeπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Mwamba alikua sahihi sana
 
Samia hahusiki na kushambuliwa kwa Lissu. Ninabisha na hata ukinichuna ngozi nitabisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…