Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Huyu mzee alikuwa kama shetani.
 
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu
Ilikuwa tarehe 7 /09/2017 na kwa mara ya kwanza Makonda hakuwepo hapo alionekana jioni Morogoro akirudi Dar

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajulikana kwamba hizi ndio thread zako za kila siku....hivi taifa halina agenda zingine za kujadili, mpaka kila siku utulalamikie kwamba Magufuli alikupiga kwenye mshono? Kwamba ulipapaswa makalio? Shenz kabisa...kila uchawao Magufuli alikufanya hivi...mnakera sana
 
Unabisha kwa kutumia negative sio weledi mkuu. Hiyo age ya Magu kwa huku kwetu ni kama late age tuu kwakuwa hawa wazee wetu sio kama hao uliowataja.

Kwanza tambua late age inategemea na mazingira . Kuwa kiongozi katika umri wa 77/79 kwa Wamarekani sawa kwasababu kwao nchi ina mfumo wa kujiendesha katika kila sehemu . Mfano Bunge, Mahakama na Serikali kuu. Mfumo imara ukiwepo mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa kiongozi hata Mzee Mwinyi(ruksa) unaweza kumrudisha.

Hapa kwetu kuna shida nyingi sana na serikali haiwezi kujiendesha bila kiongozi sio mfumo. Hapa namaanisha mfumo unamfuata kiongozi sio kiongozi kufuata mfumo.

Ukiachana na hizo akili zako za kuvukia barabara , naweza kukwambia tu Jpm umri wake kiafrika hasa kisiasa ni late age.
 
Kama Magufuli aliweza kumshambulia Lissu katika kipindi hicho bila kuhofia kujulikana kwamba atakuwa ni yeye sasa ni sababu ipi iliyofanya asimmalizie baada ya kujulikana Lissu hakufa ni kwamba aliogopa nini ambacho hakikiogopa mwanzo?
Unafikiri kwa nini alipelekwa Kenya na baadae Belgium? Ingekuwa Muhimbili angefanya finishing

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu
πŸ˜†πŸ˜† Na hiki ndicho kinamtesa SSH, amewaachia wanaropoka kila tumbili anaropoka..

Mtu anaenda kwenye TV Kujifanya eti anamsemea mnyonge wakati hana hata msaada Kwa huyo mnyonge..

Unaanza kupinga maendeleo anapinga tozo as if tozo zinaenda kufanya mambo binafsi ya familia..

Watu wa hivi ni ku deal nao Ili Kazi ifanyike vinginevyo utaishia kuyumbishwa kila siku..
 
Matokeo yake yeye ndiye kaondoka nchi ipo na hao aliotaka awashughulike bado wapo.Tukanyage vizuri ardhi ya muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…