KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mbowe siyo mchumia tumbo kama wewe, na usidhani tunapokuja hapa mtandaoni tunakuja kwa sabau ya njaa kama inayokuhangaisha wewe kila siku hapa mtandaoni, ukiandika upuuzi.Na jino zima unalitambuaje?
Huu mchezo mtakaoumia ni ninyi wanaharakati wa Mitandaoni.mbowe hawezi kukubali kurudi kwenye matatizo
Sawa. Kwa upumbavu na Uzwazwa wako unajuaje kwamba Samia alimfunga Mbowe??.Unaona sasa tatizo la kuwa kichwa panziii
dalili za kuwa kichwa panzi moja wapo ni kukutupuka kama hivi.
Mbowe amefanya la maana sana kukutana na SSH lakini kwa wewe mshabiki maandazi
sio kitu cha kushangilia.
Yule aliyemfunga mbowe ndiyo yeye anamwita ikulu unashangilia nini kama sio zuzu na lofa alivyo
waita Mkapa.
Ni wapi kaomba msamaha? Au ni hisia za ujinga wako, mbona mlimlazimisha awaombe msamaha na aliwakatalia hata mkaamua kujificha kupitia kwa Zitto na baadae dini, hii ilikuwa ni kuficha aibu ya "nitoke vipi"Si tayari kalainika?
Hujamuona akimsujudia hangaya?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mkuu lengo tujenge nchi iliyo moja na yenye itikadi mojaHapana, hili binafsi nalipinga, akiteuliwa kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote serikalini atakuwa ameuliwa/kajiua kisiasa.
Kesi ya mchongo utaifutaje prematurely?Ulitaka Samia aifute kesi prematurely wakati akina Siro, Kingai na Biswalo walishaandaa mashitaka mapema kabisa? Mama Samia anabeba Gunia la Misumari ya irresponsible Elite Figures wanao tumia Madaraka vibaya..
Ofcourse siwezi kuelewa kwa sababu umeandika UpumbavuKesi ya mchongo utaifutaje prematurely?
Yaani wewe hata logic ndogo tu inakushinda!
Kesi feki ambayo haistahili hata kusomwa, achilia mbali kusikilizwa, haiwezi ikawa dropped ‘prematurely’ because there’s no there there to begin with!
It should never had seen the light of day.
Kwa uwezo wako wa logic uliouonyesha hapo, sitarajii uelewe nilichokiandika hapo [emoji1787].
Too much of a dunce!
Onyesha huo upumbavu ulipo?Ofcourse siwezi kuelewa kwa sababu umeandika Upumbavu
Namhurumia SirroMungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
Sabaya ni jambaziFree Sabaya.
Hayo mueleze mumeo baada ya tendo if at all amekufikishaNi wapi kaomba msamaha? Au ni hisia za ujinga wako, mbona mlimlazimisha awaombe msamaha na aliwakatalia hata mkaamua kujificha kupitia kwa Zitto na baadae dini, hii ilikuwa ni kuficha aibu ya "nitoke vipi"
Mmeomba "poo" wenyewe na mwamba hana roho mbaya ya kishetani kama yenu anataka amani na ustawi wa taifa letu.
Kwa weledi wa aina yake Mheshimiwa Rais Samia amemaliza hoja zote za wapinzani sasa ni wakati wa kuchapa kazi.
Wewe si bure kichwa Chako kimeingiwa na mdudu.Hayo mueleze mumeo baada ya tendo if at all amekufikisha
Mwenyekiti ni gaidi aliyepo likizo.Sabaya ni jambazi
neverMje na ID mpya sasa....
imekufa hiyoHoja Ni katiba mpya hizo zingine mnajua nyinyi
Hakuna kitu kama hicho. Umalaya ni janga.Kwa weledi wa aina yake Mheshimiwa Rais Samia amemaliza hoja zote za wapinzani sasa ni wakati wa kuchapa kazi.