KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mbowe siyo mchumia tumbo kama wewe, na usidhani tunapokuja hapa mtandaoni tunakuja kwa sabau ya njaa kama inayokuhangaisha wewe kila siku hapa mtandaoni, ukiandika upuuzi.Na jino zima unalitambuaje?
Huu mchezo mtakaoumia ni ninyi wanaharakati wa Mitandaoni.mbowe hawezi kukubali kurudi kwenye matatizo