Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kukichwa kutapambazuka... Mkoloni kashika mpini sisi tumeshika makaliJe, baada ya giza kitakachoonekana kinahusu nini? Ni swali la kujiuliza kabla ya kufurahia ujio wa mwanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukichwa kutapambazuka... Mkoloni kashika mpini sisi tumeshika makaliJe, baada ya giza kitakachoonekana kinahusu nini? Ni swali la kujiuliza kabla ya kufurahia ujio wa mwanga.
Wakati wako mama umepita ulitumika polezako merikebu ndiyo inaanza safari sasaMbowe karipoti kwa bosi wake kuomba msamaha
Aise, siasa ni ngumu kuliko physics wakuu
View attachment 2139083
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.
Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====
Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
Mbwa wangu Siro na slaa wameumia sana mmoja amavunjika miguu na mwingine uti wa mgongo. Yule german sherphard kigogo 2014 kafa kabisa poleni jamani na karibuni homeView attachment 2139083
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.
Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====
Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ulishawah kunisaidia chakula!Mbowe siyo mchumia tumbo kama wewe, na usidhani tunapokuja hapa mtandaoni tunakuja kwa sabau ya njaa kama inayokuhangaisha wewe kila siku hapa mtandaoni, ukiandika upuuzi.
Mbowe huyu huyu iliyewagome sellouts waliokuwa wakimshawishi aombe msamaha, upumbavu mwingine umepitiliza yaani leo walewale waliosema Mbowe ni gaidi hatatoka gerezani wanakuja na upumbavu mpya alimradi wajifajiri kwa wishful thinking zao.
Kwanza wewe ni mjinga, ya nini nipoteze muda wangu kujibizana na mjinga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ulishawah kunisaidia chakula!
angekuwa hana njaa asingeenda IKULU kupiga magoti
Wewe nyumbu unajua nini.
Mbowe huyu huyu iliyewagome sellouts waliokuwa wakimshawishi aombe msamaha, upumbavu mwingine umepitiliza yaani leo walewale waliosema Mbowe ni gaidi hatatoka gerezani wanakuja na upumbavu mpya alimradi wajifajiri kwa wishful thinking zao.
Kwanza wewe ni mjinga, ya nini nipoteze muda wangu kujibizana na mjinga?
kama nimemuelewaMkuu umelewa au mbona comment yako haieleweki
Pole Ndugu Mbowe na hongera kwa kutoka lupango/sero.Naiona Tanzania Mpya hii hapa...
Mwendazake alituelekeza mkondo wa kuzimu!
Sasa tushikamane sote tudai uhuru kamili tusonge mbele na ujenzi wa taifa letu!
👍kama nimemuelewa
Mwanaume ana Chromosomes XY
Mwanamke ana Chromosomes XX
Hiyo X ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kike
Chromosome Y ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kiume.
Ndiposa mdau anasema Mwanaume anaye Mwanamke ndani yake.
c.c. Jumbe Brown
May be Everything is possible under the sunI think, Mbowe is more than what we publicaly know!!