Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Je, baada ya giza kitakachoonekana kinahusu nini? Ni swali la kujiuliza kabla ya kufurahia ujio wa mwanga.
Kukichwa kutapambazuka... Mkoloni kashika mpini sisi tumeshika makali
 
mh!! mbowe anazidi kuwa kijana, hii ilikuwa ni mipango ya deepstate, awekwe magereza ili kukamilisha mipango na michakato ya katiba mpya iliyokusudiwa ianze mwaka huu wa 2022, na sio 2021 kama mbowe na chadema walivyokuwa wakitaka.
 
Aise, siasa ni ngumu kuliko physics wakuu

Zinafikirisha sanaaa yaaaniii physics iko direct sanaa haina mikunjo kunjooo ikitokea ivi jibu wajua ni ili ilaaaa siasaaa khaaaaa 🙌
 
View attachment 2139083

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.

Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.

Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.

Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====

Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022

View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
 
Mbwa wangu Siro na slaa wameumia sana mmoja amavunjika miguu na mwingine uti wa mgongo. Yule german sherphard kigogo 2014 kafa kabisa poleni jamani na karibuni home
 
Tuseme tu Mungu ni mwema.Japo kwenye hii kesi ya mbowe niliona utofauti sana..licha ya upinzani wake ata wanaCCM wengi tulikuwa kimya hatukufurahia,waliokuwa wanafurahia ni wanasiasa waliopita chadema kama Dr slaa ,kina mtela mwampamba,cecil mwambe...ilikuwa kama ni watu wenye kisasi na mbowe.
Wakati mama samiah anaingia madarakan alisema kitu kimoja kizito sana ila kwa namna rahisi huenda wengi hawakuelewa..."aliyesimama hapa ni Raisi mwenye maumbile ya kike"
Tunapaswa kumshukuru sana Mungu kwa ajili ya mama yetu huyu..Sitaki kujudge interview yake u never know nani alimuaminisha vile mwanzo..maana taarifa yeye anapelekewa..
Lakini hili alilofanya,la kukutana na Freeman Mbowe siku ya kwanza baada ya kuachiwa ni zaidi ya ubinadamu,ni zaidi ya utu..anajua huyu mtu kapoteza muda mwingi mahabusu,biashara zake zilisimama,maisha yake yalisimama unatoka jela unafika nyumban unaanza kuwaza unaanzia wapi...lakini on the same day unaonana na Mkuu wa Nchi....Hili ni kubwa kwa kweli.WaTanzania tunapaswa kujivunia Raisi wetu.Mungu amlinde
 
HATA KAMA SIASA NI UCHAFU PAMETUMIKA BUSARA KUU. HEBU FIKIRI KAMA WATU WANGEAMUA KUTIA KIBURI. IWE IWAVYO HEKO SAMIA YA NDANI HAYATUHUSU. USTAARABU UMEONEKANA.
 
Mbowe siyo mchumia tumbo kama wewe, na usidhani tunapokuja hapa mtandaoni tunakuja kwa sabau ya njaa kama inayokuhangaisha wewe kila siku hapa mtandaoni, ukiandika upuuzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ulishawah kunisaidia chakula!
angekuwa hana njaa asingeenda IKULU kupiga magoti
Wewe nyumbu unajua nini.
 
Zito alimuombea msamaha mbowe alijibiwa nini?
Mbowe huyu huyu iliyewagome sellouts waliokuwa wakimshawishi aombe msamaha, upumbavu mwingine umepitiliza yaani leo walewale waliosema Mbowe ni gaidi hatatoka gerezani wanakuja na upumbavu mpya alimradi wajifajiri kwa wishful thinking zao.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ulishawah kunisaidia chakula!
angekuwa hana njaa asingeenda IKULU kupiga magoti
Wewe nyumbu unajua nini.
Kwanza wewe ni mjinga, ya nini nipoteze muda wangu kujibizana na mjinga?
 
Kama mbowe hajafika Bei?
Mbowe huyu huyu iliyewagome sellouts waliokuwa wakimshawishi aombe msamaha, upumbavu mwingine umepitiliza yaani leo walewale waliosema Mbowe ni gaidi hatatoka gerezani wanakuja na upumbavu mpya alimradi wajifajiri kwa wishful thinking zao.
 
Mkuu umelewa au mbona comment yako haieleweki
kama nimemuelewa

Mwanaume ana Chromosomes XY
Mwanamke ana Chromosomes XX

Hiyo X ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kike

Chromosome Y ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kiume.

Ndiposa mdau anasema Mwanaume anaye Mwanamke ndani yake.

c.c. Jumbe Brown
 
Naiona Tanzania Mpya hii hapa...
Mwendazake alituelekeza mkondo wa kuzimu!
Sasa tushikamane sote tudai uhuru kamili tusonge mbele na ujenzi wa taifa letu!
Pole Ndugu Mbowe na hongera kwa kutoka lupango/sero.

Tunazidi kuelewa yaliyoendelea na yanayondelea. Amani na usalama ni muhimu kwa wote. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika na watu wake.
 
kama nimemuelewa

Mwanaume ana Chromosomes XY
Mwanamke ana Chromosomes XX

Hiyo X ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kike

Chromosome Y ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kiume.

Ndiposa mdau anasema Mwanaume anaye Mwanamke ndani yake.

c.c. Jumbe Brown
👍
 
I think, Mbowe is more than what we publicaly know!!
 
Back
Top Bottom