chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
na hizi ndo zitakazo tuletea majanga zaidi.baada ya miaka 5 tutaanza kuona majanga mapya ,time will tell,very soon.Wanachanja za mabilioni, sisi tunaletewa za senti 10[emoji1787]bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hizi ndo zitakazo tuletea majanga zaidi.baada ya miaka 5 tutaanza kuona majanga mapya ,time will tell,very soon.Wanachanja za mabilioni, sisi tunaletewa za senti 10[emoji1787]bure
Hapo amemshika Waziri Mkuu kikavu anaweza asinawe hata wikiNesi gani anachanja bila kufuata protokali za afya?, Kama anayemchanja akitoka damu au majimaji yenye virusi naye si anaweza kuambukizwa magonjwa?
Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Hivi unawezaje kuhamasisha watu wavae barakoa wakati mhudumu wa afya tena mwenye fani yake anasahau kuvaa gloves tena kwenye siku muhimu ya kuonyesha umahiri?..... Watalaamu wanaopaswa kuwafundisha wanasiasa wamegeuka kuwa vigwangala?.. Du!.Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!
Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.
Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
Poor you !!! Kwa hiyo hata IPC (Infection Prevention & Control) Guideline/Protocol wewe huijui !!!???mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Du!.…Yaani doro kule nyuma anavyopiga makofi kama kaona dudu vile...heee!!!
huyo nesi ameonyesha unprofessionalism ya hali ya juu.tena kwenye picha ya waziri mkuu itakayosambaa dunia nzima na watu wote wataona namna manesi wa tz wanavyofanya kazi.
Hata ukiangalia kwa makini mkono wa kushoto wa mhudumu inaelekea umekinga sindano isionekane kwa kuwa kwa muonekano wake haikuingia kwenye mwili wa PM. Ailigiza kwa amemchoma lakini sivyo! Wataalamu wa afya tuambieni kweli hiyo sindano ya chanjo inavyoonekana imeingia kwenye mwili wa PM?Usitetee uhuni unaofanya huko MCH/RCH. Hata mimi nafanya kazi afya. Unatakiwa uvae glove. Nashukuru Watanzania kwa kuwa observant. Badala ya zoezi kutoa wananchi wasiwasi juu ya chanjo, wajinga wamelifanya liongeze wasiwasi kwa wananchi. Wanafanya ujinga wao mbele ya mamilioni ya Watanzania kwenye TV! Nchi hii haina viongozi kabisa! Waziri wa Afya yuko wapi? Rais/PM wanachanjwa kwenye TV bila gloves?
Ulimuheshimu hata alivyosema Rais ni mzima anachapa kazi ?majaliwa nilikuwa namuheshimu ila kwa hili nimemdharau.
Waache wageuzwe Mazombi na Bill Gates! Naiona “Walking dead” ndani ya miaka mitano ijayoBimkubwa anaoneka hana furaha kabisa
Mungu tufanyie wepesi kwenye hili
joto la ness zuri ndugu na akiongeza kasauti pole lazima mkuu atulie
Ndio maana yake, hata hizo gloves za plastik zinabeba bakteria kibao km usipotumia vizuri.mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Hauwezi kuwa serious wewe. Mhudumu wa afya haujui hata umuhimu wa preventive measures?
Picha ya pili yule kule nyuma anapiga piga tu makofi [emoji2957]Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!
Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.
Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411