#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

Wanachanja za mabilioni, sisi tunaletewa za senti 10[emoji1787]bure
na hizi ndo zitakazo tuletea majanga zaidi.baada ya miaka 5 tutaanza kuona majanga mapya ,time will tell,very soon.
 
Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
2699115_90876541.jpg
 
Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!

Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.

Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
Hivi unawezaje kuhamasisha watu wavae barakoa wakati mhudumu wa afya tena mwenye fani yake anasahau kuvaa gloves tena kwenye siku muhimu ya kuonyesha umahiri?..... Watalaamu wanaopaswa kuwafundisha wanasiasa wamegeuka kuwa vigwangala?.. Du!.
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Poor you !!! Kwa hiyo hata IPC (Infection Prevention & Control) Guideline/Protocol wewe huijui !!!???
 
Usitetee uhuni unaofanya huko MCH/RCH. Hata mimi nafanya kazi afya. Unatakiwa uvae glove. Nashukuru Watanzania kwa kuwa observant. Badala ya zoezi kutoa wananchi wasiwasi juu ya chanjo, wajinga wamelifanya liongeze wasiwasi kwa wananchi. Wanafanya ujinga wao mbele ya mamilioni ya Watanzania kwenye TV! Nchi hii haina viongozi kabisa! Waziri wa Afya yuko wapi? Rais/PM wanachanjwa kwenye TV bila gloves?
Hata ukiangalia kwa makini mkono wa kushoto wa mhudumu inaelekea umekinga sindano isionekane kwa kuwa kwa muonekano wake haikuingia kwenye mwili wa PM. Ailigiza kwa amemchoma lakini sivyo! Wataalamu wa afya tuambieni kweli hiyo sindano ya chanjo inavyoonekana imeingia kwenye mwili wa PM?
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Ndio maana yake, hata hizo gloves za plastik zinabeba bakteria kibao km usipotumia vizuri.
Naweza kibadilisha gloves mara 10 kwa siku.
Ni Chef,nikigusa mboga,nikimaliza natupa,nikishika samaki ninayo mpyya natupa nikimaliza nikichoma nyama mpya natupa tena ,veg,sallad ,dessert mwendo ni ule ule.
Wanavyosema bora kunawa tu mikono kuliko kubadili gloves alltime.
Lakini nani atakumbuka kunawa mikono wakati una foleni watu 200 +
 
Hauwezi kuwa serious wewe. Mhudumu wa afya haujui hata umuhimu wa preventive measures?
Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!

Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.

Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
Picha ya pili yule kule nyuma anapiga piga tu makofi [emoji2957]
 
Back
Top Bottom