IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,

Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili kila mwenye akili ameona dhamira njema ya Rais wetu wanaoendeleza migogoro pia Watanzania wamewaona vema,

IMG-20211216-WA0036.jpg

IMG-20211216-WA0037.jpg

IMG-20211216-WA0038.jpg
 
Naona Mbowe krismass atailia moshi siku mbili kabla ya 25DEC.
 
Hamna la maana.

Kina Kheri James wana kauli za hovyo kabisa ila hawasemi bali wanaona wapinzani ndio wakorofi ili hali wanavumilia mengi. Unafiki mtupu. CCM ndio wavunja sheria wakubwa na ndio wanalindwa kwa uovu wote wanaoufanya

Halafu waache kutafuta sababu ya kuondoa aibu ya kumfutia Mbowe kesi ya kuchonga kupitia kinachoitwa Raisi kaombwa amsamehe. Unamsamehe kwa kosa gani?Inakera sana.
 
She is hopeless fool.Kanuni na miongozo ya kufanya mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.

Hata adhabu za ukiukwaji wa kanuni za kuendesha mikutano hiyo zipo kwa mujibu wa sheria zetu.Njia bora za kuendesha mikutano hiyo tayari zipo well defined na sheria zetu.

Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Polisi kazi yao ni kusimamia sheria na kanuni hizo na kuhakikisha kuwa zinazingatiwa.

Tukisema kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu tunaonekana wabaya. Sasa Rais anataka hawa watu wakutane wajadili nini tena wakati kila kitu kipo well defined na sheria zetu?
 
===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,

Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili kila mwenye akili ameona dhamira njema ya Rais wetu wanaoendeleza migogoro pia Watanzania wamewaona vema,

View attachment 2045863

View attachment 2045865

View attachment 2045866

Huku sasa siyo sawa na bwana Kangi na mikorosho yake?

Hii ni taarifa kwa umma ama muhtasari wa hotuba ya mgeni rasmi kwenye mkutano wa kina Zitto na wenzake jana?

Hakuna jipya hapa.
 
She is hopeless fool.Kanuni na miongozo ya kufanya mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa sheria.

Hata adhabu za ukiukwaji wa kanuni za kuendesha mikutano hiyo zipo kwa mujibu wa sheria.Njia bora za kuendesha mikutano hiyo tayari zipo defined na sheria.

Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Polisi kazi yao ni kusimamia sheria na kanuni hizo na kuhakikisha kuwa zinazingatiwa.

Tukisema kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu tunaonekana wabaya. Sasa Rais anataka hawa watu wakutane wajadili nini tena wakati kila kitu kipo well defined na sheria?

Kwa kauli ile kakosea ila kumuita Rais fool unakosea sana mtaalamu. Jaribu kutumia lugha ya busara pale unapowasilisha hoja zako…
 
Wewe unastahili kupotea kabisa jombaa, futa hii
 
Upo sahihi mkuu hii nchi inaongozwa na fool's who only to talk nonsense
 
Kwa kauli ile kakosea ila kumuita Rais fool unakosea sana mtaalamu. Jaribu kutumia lugha ya busara pale unapowasilisha hoja zako…
Kwa nini nitumie lugha ya busara kwa mtu ambae hana busara?

Kaongea vitu vingi vya hovyo vinavyothibitisha kuwa hana busara na kwa hiyo hastahili busara.

1.Anadai kuwa anataka amsamehe Mbowe wakati Mbowe hatumikii adhabu yoyote ile.

2.Anadai kuwa vyama vya siasa vikipewa ruksa ya kufanya mikutano ya kisiasa vinasababisha vurugu na kuharibu mali za umma kitu ambacho siyo kweli.

3.Anataka Polisi,vyama vya siasa pamoja na msajili wa vyama vya siasa wakutane wajadili namna bora ya kufanya mikutano ya siasa wakati namna bora ya kufanya mikutano ya siasa ipo defined tayari kwenye sheria zetu.

4.Ni Rais alietokana na mapolisi.Hana kibali cha wananchi.Ni Rais wa mchongo.

Rais kama huyu hapaswi kujibiwa kwa busara kwa sababu yeye mwenyewe hana busara lakini pia hana kibali cha wananchi,ni Rais wa Mapolisi.

She is hopeless fool.
 
Back
Top Bottom