4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
No YAKO pitia chadema digital ya uanachama ni ngapi?Mimi ni CHADEMA ila namkubali sana Rais Samia na nitamchagua yeye 2025,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No YAKO pitia chadema digital ya uanachama ni ngapi?Mimi ni CHADEMA ila namkubali sana Rais Samia na nitamchagua yeye 2025,
Wewe mtie moyo tu
Masuala yote ya mikutano ya vyama vya siasa yamo ndani ya Katiba ya nchi , Hahitaji KIKI wala Muongozo kutoka Ikulu , unatakiwa uwe mjinga sana kuamini kwamba jambo hili limeletwa na Rais===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,
Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili kila mwenye akili ameona dhamira njema ya Rais wetu wanaoendeleza migogoro pia Watanzania wamewaona vema,
View attachment 2045863
View attachment 2045865
View attachment 2045866
Jiwe alikuwa anaharibu nchi?Naungana na wewe 100%
Huu ni Mtazamo wako,Kashtuka baada ya kuona mbabe wa Dunia Marekani kaalika marais kibao kujadili mambo ya kidemokrasia halafu yeye hayupo.
Pamoja na kuwa rais mwanamke wa kwanza East Africa lakini waaaapi.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Rais amekuwa sheria mama. Katiba ni sheria mtoto. Legacy ya mwenda zake italitesa taifa kwa kitambo kidogo.She is hopeless fool.Kanuni na miongozo ya kufanya mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.
Hata adhabu za ukiukwaji wa kanuni za kuendesha mikutano hiyo zipo kwa mujibu wa sheria zetu.Njia bora za kuendesha mikutano hiyo tayari zipo well defined na sheria zetu.
Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Polisi kazi yao ni kusimamia sheria na kanuni hizo na kuhakikisha kuwa zinazingatiwa.
Tukisema kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu tunaonekana wabaya. Sasa Rais anataka hawa watu wakutane wajadili nini tena wakati kila kitu kipo well defined na sheria zetu?
Chadema hakuna papasi kama weweMimi ni CHADEMA ila namkubali sana Rais Samia na nitamchagua yeye 2025,
Usitishe watu wewe pimbi. Aliyekuwa anapoteza watu leo hii anabanikwa kama ndafu huko jehanamWewe unastahili kupotea kabisa jombaa, futa hii
SwadaktaaaKwa nini nitumie lugha ya busara kwa mtu ambae hana busara?
Kaongea vitu vingi vya hovyo vinavyothibitisha kuwa hana busara na kwa hiyo hastahili busara.
1.Anadai kuwa anataka amsamehe Mbowe wakati Mbowe hatumikii adhabu yoyote ile.
2.Anadai kuwa vyama vya siasa vikipewa ruksa ya kufanya mikutano ya kisiasa vinasababisha vurugu na kuharibu mali za umma kitu ambacho siyo kweli.
3.Anataka Polisi,vyama vya siasa pamoja na msajili wa vyama vya siasa wakutane wajadili namna bora ya kufanya mikutano ya siasa wakati namna bora ya kufanya mikutano ya siasa ipo defined tayari kwenye sheria zetu.
4.Ni Rais alietokana na mapolisi.Hana kibali cha wananchi.View attachment 2045934View attachment 2045936View attachment 2045939
Rais kama huyu hapaswi kujibiwa kwa busara kwa sababu yeye mwenyewe hana busara lakini pia hana kibali cha wananchi,ni Rais wa Mapolisi.
She is hopeless fool.
Zamani nilikua najua watu wanaovaa miwani wana akili sana ila baada ya kumuona Chief Hangaya na kupitia CV yake nikajua hamna kitu na hatutoboi kwenye chochote.She is hopeless fool.Kanuni na miongozo ya kufanya mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.
Hata adhabu za ukiukwaji wa kanuni za kuendesha mikutano hiyo zipo kwa mujibu wa sheria zetu.Njia bora za kuendesha mikutano hiyo tayari zipo well defined na sheria zetu.
Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Polisi kazi yao ni kusimamia sheria na kanuni hizo na kuhakikisha kuwa zinazingatiwa.
Tukisema kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu tunaonekana wabaya. Sasa Rais anataka hawa watu wakutane wajadili nini tena wakati kila kitu kipo well defined na sheria zetu?
Hilo ni taga achana naloNo YAKO pitia chadema digital ya uanachama ni ngapi?
... labda huenda mara hii wakasema kibali cha mkutano lazima kitoke kwa ai-ji-pii!Njia bora ipi tena? maana Katiba imetamka pia sheria ya vyama vya siasa imetamka wazi wazi - sasa njia ipi ijatafutwe tena? je hii njia itakuwa ya kisheria ama yoyote ambayo Msajili ataona inafaa ?
Wewe ni MhuniMimi ni CHADEMA ila namkubali sana Rais Samia na nitamchagua yeye 2025,