Nini kilichopelekea vyama kukatazwa kufanya mikutano, je waliwahi kuvunja sheria wapi na lini, mbona hawasemi.?
Magufuli hakutaka mikutano ya vyama kwa sababu alijua watamlipua kwenye majukwaa kwa sababu ya maovu yake, huo ndio ukweli fikra ambayo anaiendeleza huyu rais wa sasa.
Wanaogopa madhaifu mengi ya serikali yatakuja kuanikwa hadharani na wapinzani, hakuna sababu yoyote inayowafanya wakataze mikutano ya vyama wakati katiba inaruhusu. Waache unafiki.