Wajadili nini na wote wateule was mkuu,
Mkutano wa wadau halafu unamwalika Spika.
Mkutano wa wadau halafu unamwalika Spika.
She is hopeless fool.Kanuni na miongozo ya kufanya mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.
Hata adhabu za ukiukwaji wa kanuni za kuendesha mikutano hiyo zipo kwa mujibu wa sheria zetu.Njia bora za kuendesha mikutano hiyo tayari zipo well defined na sheria zetu.
Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Polisi kazi yao ni kusimamia sheria na kanuni hizo na kuhakikisha kuwa zinazingatiwa.
Tukisema kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu tunaonekana wabaya. Sasa Rais anataka hawa watu wakutane wajadili nini tena wakati kila kitu kipo well defined na sheria zetu?