IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,

Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili kila mwenye akili ameona dhamira njema ya Rais wetu wanaoendeleza migogoro pia Watanzania wamewaona vema,

View attachment 2045863

View attachment 2045865

View attachment 2045866

Hiyo chadema wavuruga amani hujatenda haqi!
Imeandikwa
[emoji1370][emoji1370]
Mathayo 7
1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
 
===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,

Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili kila mwenye akili ameona dhamira njema ya Rais wetu wanaoendeleza migogoro pia Watanzania wamewaona vema,

View attachment 2045863

View attachment 2045865

View attachment 2045866
Msajili tena, na siyo katiba [emoji848]
 
Kwa kauli ile kakosea ila kumuita Rais fool unakosea sana mtaalamu. Jaribu kutumia lugha ya busara pale unapowasilisha hoja zako…
Uko sahihi mkuu, hata kama Rais kakosea vp huwezi kumuita hivyo maana yeye anawakilisha Watanzania wote. Ukimtukana maana yake umetukana watanzania wote. Japo kwa sasa Samia simkubali kabisa
 
Angalia aina za watu kama huyu ndo waje wapewe nchi si matatizo hana hata haiba na diction of words....pitiful
Umenikumbisha yule aliyesema "Rudi na mavi yako nyumbani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
acheni kutisha watu wanapotoa maoni,kwani uongo?
Kanuni na miongozo si vipo Sasa hapo wanataka Nini Tena au ndio umungumtu kama ilivyo ada ya watawala wa Afrika kuishi Kwa matamko na kuvunja katiba?
Shame!
Acha kusapoti Uovu
 
Acha kusapoti Uovu
hahahhahaah kweli nyani haoni kundule yaani Leo mnatuona waovu wakati Chama chenu kimejaa majambazi,mafisadi papa na mauaji na hakuna hatua zilizochikuliwa Kwa kulindana utanambia Nini nikuelewe?
😁😁😁
 
hahahhahaah kweli nyani haoni kundule yaani Leo mnatuona waovu wakati Chama chenu kimejaa majambazi,mafisadi papa na mauaji na hakuna hatua zilizochikuliwa Kwa kulindana utanambia Nini nikuelewe?
😁😁😁
Usicheke,Ustawi wa Tanzania unamuhitaji kila mmoja,
 
===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,

Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili kila mwenye akili ameona dhamira njema ya Rais wetu wanaoendeleza migogoro pia Watanzania wamewaona vema,

View attachment 2045863

View attachment 2045865

View attachment 2045866
 
Naomba nikujibie mkuu, uko kundi kinyonga

Mkuu Allency Unamaanisha kundi hili hapa?

Chadema 2005 - 2014

Screenshot_20211016-092642.jpg

images (9).jpeg

Maana hawa ndio vinyonga waliofuzu kabla hata ya muda wa kufuzu
 
Back
Top Bottom