IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Katiba ya nchi ndio inayoruhusu mikutano ya vyama vya siasa na sii fadhila za raisi.
Ndio maana nchi ipo kwenye struggle ya kutaka katiba mopya kumuondoa rais kuwa mfalme.
 

Wewe ndo fool. Sasa hapa JF unamjibu Rais? Kweli upumbavu Ni bei Rahisi. Mtu mwenye busara atabaki na busara haijalishi yupo mbele ya nani. Hapa unauza sura tu so Acha kujifanya as if umekutana na kiongozi live. Katika mantiki Zote weee Ni mtu mwenye ovyo sana. Hata maishani mwako unaonekana Ni mtu wa ovyo. Keyboard inakupa faraja kuficha uovyo wako.
 
Sheria ya vyama vya siasa inaeleza namna ya kufanya mikutano inabidi iheshimiwe,
Huyu mama vipi? Watafute njia gani nyingine wakati zipo tena kisheria
Mama anaogopa Sana critics,kwenye majukwaa ya kisiasa hajiamini kabisa
 
Huku ni kupakana podari, ukweli ni ule wa La Leo Lifanywe Leo ,kauli hizi za Raisi au mikakati hii ya Raisi ,imekuwa ni hadithi zisizokwisha,wamepita maraisi wengi na mifano ya kauli hizi ambazo utekelezaji wake upo katika msamiati wa "...Mkakati..." kwa maana hapo baadae ,ndio aina ya maandishi haya yanavyokwenda na zaidi hufuatana na vibwagizo tatanishi vya ...kwanza tujenge nchi mengine baadae...
 
Ulichoongea kinyume chake ndiyo sahihi,yaani fool ni wewe.Kwani hujui kuwa Rais huwa anakesha kwenye mitandao ya kijamii?Hukumsikia alipokuwa akidai kuwa ngoma inapigwa mitandaoni halafu wabunge wanademka?Watu walipoanza kudai katiba mpya kwenye mitandao hukumsikia akidai kuwa wameanza chokochoko?
Keyboard inakupa faraja kuficha uovyo wako.
Chief Hangaya ndiye mapolisi wanampa faraja ya kuficha uovu wake wa kupora chaguzi.Hana kibali cha wananchi na pia hakubaliki duniani wala mbinguni.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.


Na wewe ambae unamwita Kibaka alieingia ikulu kwa kupora chaguzi kuwa ni Rais laana ianguke juu yako.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…