Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Hakuna la kujifunza hapo kwa sababu hakuna katika dunia hii ambapo Rais anamaliza muda wake bila watu kupigwa risasi au kufa lakini kikubwa zaidi, hakuna katika dunia hii ambapo kuna siasa safi. Hoja ni uchafu wa aina gani katika siasa!

Kwa Afrika, wanasiasa kupigwa risasi siyo jambo la ajabu au la kujifunza kwa sababu ndio mazingira ya kisiasa ambayo yamejengeka katika msingi huo.
 
Wimbo huo eti huwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa
Dinge hilo wamerusha Ikulu
 
Kwa niliyoyasoma siku hizi chache ni wazi mkipata nafasi mtafanya hivyo huku mnalaani mnaowaita Wana roho mbaya

Kwa taarifa yako hamna mwenye hiyo roho chafu ya mauaji, otherwise watu wangeshaingia msutuni muda mrefu, ndio maana watu wanatumia hii hali kuonyesha hisia zako kwamba hawatendewi haki. Ingekuwa huko Somalia huu upuuzi watu wangedeal nao vyema.
 
"Sorry this video is no longer available"....[emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…