ameshaanza kuapisha iyo live?
Mungu Yu pamoja na Rais wetu
Unamjua Mungu wewe? Unadhani Mungu ni Makonda? Jinga SanaMungu Yu pamoja na Rais wetu
Kuna watu ni kina JACK OF ALL TRADES,MASTER OF NONE. Mtu ambaye kila mada yupo na ni active sana hawezi kuniaminisha eti yeye ni mtu wa kitengo au kurugenzi ya ikulu ama idara nyeti. Watu wa nyadhifa kubwa uko huwa wanakuja ghafla na kupotea sio kushinda kila threadSikuwahi kufikiria kama Mshana JR ni Mpumbavu kiasi hiki. Huyu Sky Eclat niseseme kitu, she is so disparate, huenda ndoa yake iko hoi na anaamini aliyesababisha na Rais!
SKY ECLAT kajificha wapi?Ukimya siku zote hauna hasara, wale wote waliokuwa wanamuombea mabaya yako wapi sasa...
Naomba Mungu awawajibishe kulingana na maneno yao...
ha ha ha ha ha ha anazungumza utazani mwili wa binadamu ni kama simu au gari
Usiwasingizie Bavicha umbea upo huko huko CCM wenyewe hata ule moshi wa kichawi kule Ruangwa ulitumwa na wana CCM wenyeweHaya BAVICHA tukaendelee na majukumu yetu umbea wetu umebumaaView attachment 1239260
mzee wa instinct leo hujanasa kama kule selfika leo instincts hazijakudanganyaKuna mtualisena huu ni mtego na umenasa wengi
It takes one to know the other.