Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Tumeshafungua kesi tayari TCRA ili watulipe tunasubiri majibu kama hawatachukua hatua lazima mtu atumbuliwe hapo TCRA! Hatuwezi achia ujinga wa namna hii hata siku moja!
 
Kwa mtu mwenye private jet akieenda ujeruman tuseme juzi usiku, leo hawezi kurudi fast?
Aisee! Kama anaenda ili aoneshe anaweza kwenda na kurudi inawezekana. Lakini kama ni mgonjwa kama tulivyoaminishwa sio rahisi
 
Waliokuwa tired washajulikana ni chadema na zitto,
Kwa post aliyopost lema , nachelea kusema mh raisi na wewe fanya itavyokupendeza
 
Jana ilitoka taarifa kuwa raisi kafanya uteuzi, ila kwa ujinga wenu mkaanza kusema ni fake!
 

Ndo ujuha wenyewe huo sasa!

Hiyo bypass surgery alimfanyia yeye?

Nyambaaf kabisa.
 
Mimi ni mpinzani lakini napenda Jiwe amalize miaka yake 10 aondoke au basi apoteze kwenye uchaguzi 2020.Lakini sio aondoke kwa style hii!
Apoteze urais 2020 kwa nani? Kwa zito mchumiia tumbo au kwa upinzani upi? Mkuu we endelea tu kuwatafutia kinda wako chukula na mengineyo hiyo habari ya 2020 ni tutafuata tu itifaki ya kisiasa (uchaguzi) kumrasmisha tu mkulu. Kama ingekuwa inawezekana hzo gharama za uchaguzi tungezipeleka tu kwenye sgr au miradi mingine ya maendeleo.
 
Nyau we hakuna aliyetaharuki watu walizizima kwa shangwe
Binafsi sijafanya kazi zangu tangu jana kwa sababu ya taarifa hizi za kizushi.

Ninachokiongea namaanisha sio kama wewe unayedhania tunafanya siasa!
Kuna kazi zilitakiwa weekend zikamilike zimeshindikana hivyo nalazimika kufanya compensation jumatatu na jumanne na hivyo ratiba nzima ya wiki kesho imevurugwa!

Wewe kama unafanya manual work kiasi kwamba hata taarifa hizi haziathiri utulivu wako ni wewe. Wengine tunatakiwa kuwa katika hali ya utulivu kimawazo ndio uweze kuzalisha katika kazi yako.

Tunatofautiana nature ya kazi hivyo nakubaliana na wewe baadhi hawakuathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…