Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Waraka kama wa lemutuz huu!

Watu wameumbuka sana jioni ya leo, zile nyimbo wakajiimbie wenyewe na familia zao maana watasubiri sana
 
Hv kwann uliwekwa ule wimbo wa yule nanihii wakati wa kuapisha,hatuon Kama tunawapa credit wale wakina nanihii waamn kuwa safu yetu ya ushambuliaji kweli inashda
 
Huu uzi mmejaa nyoka wa kijani tu, mnajipa moyo in vain, poleni sana
 
Dozi zaidi

Ikulu isijibu walio kuwa wanaeneza uvumi kwa vijembe. Kosa kubwa ni LA kwao wenyewe Kurugenzi ya habari kwa kuruhusu uvumi usambae bila kuchukua hatua mapema.
Kuimbaimba nyimbo za kuwasema waliokuwa wamepokea habari na wakaeneza baada ya ukimya ni kosa kubwa sana.
Uhai ni wa Mungu na anaweza kuuchukua wakati wowote, sasa wakitoa vijembe sasa hivi na chakula cha jioni mtu akakwamwa na mwiba wa samaki ukamuondoa watasemaje tena? Waache tabia za mtaani kuziingiza Ikulu yetu
 
Mkuu kwetu haya ni mageni kidogo. Sijawahi kuona kitu kama hii aisee. Marais wote waliopita haikuwa kiasi hiki.
Una exaggerate mambo...waliofurahia wachache sana...labda hicho kitaa ulikopita wewe...huku nilipo mimi jana kuna mtu kasikitika hadi kafunga biashara...huwezi ukapendwa na watu wote
 
kwa kweli nimefarijika sana. kuna watu wanafika mahali wanaombea mtu afe
Kuombea mtu afe, hata gaidi, ni jambo baya.

Ni jambo ambalo kwa kanuni ndogo tu za utu siwezi kulitetea.

Ila, tujiulize. Inakuwaje mpaka rais aliyeanza urais kwa kupendwa na watu wengi sana akaja kuchukiwa mpaka kuombewa afe na watu wengi sana kwa njia ambayo si kawaida katika utamaduni wa Watanzania?

Tumekosea wapi au rais kakosea wapi?
 
Hii mijitu inaboa ile mbaya sijui ilizaliwa usiku sasa Magufuli akifa ndo utakuwa tajiri sijui inapata faida kufanya hiv hi mijitu hawana ubinadamu kabisa.Isije maombi yenu mabaya yakawageukia nyie wenyewe.Naunga mkono hoja ya mtoa mada.
Na yeye alipoamuru Tundu Lissu auawe alipata faida gani?
wapuuzi Sana nyie, atakufa na kumwacha Lissu akiwa hai
 
Haya yanaota mizizi nchini "kuombeana kifo" awali alichorongwa lissu risasi vijana wa ccm wakaomba na kushangilia afe badala ya kumwombea,,,,,sasa imetokea Magufuli amezushiwa kifo vijana wa chadema na wengine walioguswa kwa kuonewa au kutoonewa na utawala huu wanashangilia na kuombea rais afe .Suluhisho: rais ni mtu mkubwa hapa nchini hivyo anapofanya kazi zake za kulissidia taifa atumie mbinu za kuwaunganisha wtz wa itikadi tofauti wajihisi ni wamoja ndani ya nchi moja atake au asitake vinginevyo madhara yanayokuja itakuwa lawama kwake. Kingine ikulu na wataalamu wote wanaomsaidia Rais wasipende kufanya mashindano na mitandao linapotokea suala la afya ya rais ,,tokeni haraka kukanusha uvumi wowote ule.
 
Hapa ndio ukitaka kufanya conclusion ya uwezo wa kufikiri na akili za watanzania(baadhi), soma threads zote zinazomhusu raisi na afya yake.

Sky Eclat, Bujibuji etc wamefanya summary nzuri sana ya uwezo na akili za watanzania walio wengi.
 
Kuna jitu nimelipa like kimakosa sijui nitaichukuaje? Wanashangaza hawa watu ukileta hapa majibu yao kuhusu Ben saa nane na tukio la Lissu huwezi amini ndio hao leo wanataka watu wasitoe hisia zao kwa wauwaji.
 
Mkuu kwetu haya ni mageni kidogo. Sijawahi kuona kitu kama hii aisee. Marais wote waliopita haikuwa kiasi hiki.
Dah ...hata wewe mzee ...anyway tunazidi kuwajua vizuri
 
Yaani namjua toka akiwa chuo anachukuwa masters pale kabla hata ya ubunge nilikuwa mdogo lakini kuna uhusiano nitaishia hapo nisije kuhusika kwenye usalama.
Acha uzushi wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…