Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Hii inaonyesha Tanzania ya Leo is not the same again, na inasikitisha.
Lakini tabia ya taifa ikiharibika wa kwanza kulaumiwa ni utawala! Pengine wao ndio wameleta tabia ya kubaguana na kuchukiana. Ila ninaamini kwa hali hii ya yaliyotokea kuna LA kujifunza kuhusu mahusiano ndani ya jamii
[/QUOTE]
Kuna mengi ya kujifunza lakini nina wasiwasi kama watu hapa watajifunza.Siasa zetu ni za hovyo sana.Mfano mkubwa ni Polisi wakipata Matatizo watu wanavyofanya sherehe.Matatizo haya yemeletwa na Viongozi wetu wenyewe na inabidi viongozi wajifunze na wajaribu kuwalete Watanzania pamoja.
 
Mpaka sasa nadhani huyo Bwn Kigogo atakua keshafahamika, huu ni ujumbe namna serikali ilivyo na uwezo. Sio ya kubeza. Kweli serikali ni Siri kali.
 
Mkuu kakikundi ambako tunajua hadi fake IDs zao ndio mnatumia kipimo cha watanzania wote?
 
Huyu fala kumbe alipata umbea kutoka kwa Zito. Zito mjinga sana. Sijui na yeye alipata wapi huu umbea.
Mungu ni mkuu. Chuma kimewamaliza kwa sumu waliyojiwekea wenyewe. Viva JPMView attachment 1239403
Fake account ya kigogo. Hyo iko na capital letter hyo ya kwanza ,,na yule mwenye taarifa fake ni kigogo ya small letter
 
Huyo jamaa huwa ana kiherehere kibaya sana...... alafu ni mtu wa ku seak ma attention kinoma...
 
Nimecheka kiboya
 
Hizi ndio sababu zinazo jenga chuki miongoni mwa jamii yetu.
Kama na serikali inajua hayo kuwa hayo mambo ni ya huko ndani kwao kwa nini ilisitisha uchunguzi? Hizo ni hoja za kijinga na sidhani kuwa hata wao serikalini wanazipenda maana inaonyesha kuwa Chadema ni powerful na hawagusiki.
 
Bila kusahau chama tawala hovyo!!! Ccm ingekuwa imara na chadema,cuf na act zingekuwa imara
Kutokuwa imara kwa chama tawala kusiwafanye vyama vingine kutokuwa imara.
Kama CCM Ni ya hovyo ilitakiwa wapinzani wajipange wawe vizuri zaidi..Cha ajabu upinzani unakuwa wa hovyo Zaidi.
 
The hate towards the president runs deep awamu hii.
 
Kiranga ni wewe au mtu anatumia account yako..!?

Ni asilimia ngapi ya wanaomchukia imeongezeka ukilinganisha na waliokuwepo alipoingia madarakani?

Inawezejana pia kuwa Wanaomwombea kifo ni walewale ambao hawakumchagua alipoingia madarakani.
 
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
Una tofauti gani sasa na hao mnaowaita majuha na wapumbavu kama ushauri wako kwa rais ndio huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…