Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Wapi nimesema afe?

Unaandika una hakika ripoti ijayo itakuwa nzuri, umeiona?

Unaelewa hakika ni nini?

Rais anafanya rookie mistake unakubali tu?
Sawa wewe hujakubali,utafanya nini sasa?
 
Sawa wewe hujakubali,utafanya nini sasa?
Mimi nimeshafanya nililotakiwa kufanya kabla upuuzi huu haujafikia hapa.

Niliona hiu ujinga unakuja tangu utawala wa Mkapa.

Nikapanda ndege na kuhamia Marekani.

Huko Tanzania kwa sasa nawaambia tu mkiendekeza ujinga huu wa kumuangalia mtu mmoja kama Mungumtu mtabaki kwenye ujinga, umasikini na maradhi milele.

Natimiza wajibu wangu kusema tu.

Mkikataa na kuendekeza ujinga mkabaki kwenye ujinga, umasikini na maradhi, ni shauri yenu.

Damu yenu haiwezi kuwa juu yangu. Mimi nitakuwa nishatimiza wajibu wangu wa kusema ninachoona.
 
Kuna watu ni wachawi na washirikina. Sijui Vyama wanaendeshaje.
Kuwa kiongozi hakuletwi na kuloga. Wamejiabisha sana.
 
Basi sawa, ngoja sisi tutimize wajibu wetu tukiwa hukuhuku Tanzania,tutafika tu...........kwamba nasisi tuje huko marekani? Hiyo marekani imejengwa na wamarekani.Tanzania itajengwa na watanzania.unajivunia kukimbia changamoto?
 
Wapi nimekwambia uje Marekani?

Unaota?

Tanzania unaijenga kwa kuufumbia macho ukweli?
 
Ungekuwa na wewe sio juha, ungetoa uzi wako mapema kabla ya jiwe kujitokeza leo.
 
Kwenda zako !!! Umejigawa mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…