Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Wengi wetu tunafikiri Mama anahujumiwa lakini bila Mama kujua watekaji wameshatekeleza hujuma zao sasa Mama kwa wengi anaonekana naye ni muunga mkono wa watekaji badala ya metetezi na mlezi wa wananchi wote. Sasa watatokea wapinzani wake ndani ya CCM ambao watajifanya wapo na wananchi na hao kumbe ndiyo wanakula na watekaji fulani ndani ya usalama na jeshi la Polisi.

 
CCM hatuna watu aina yako ma Bon Yai.
Na kadi ya chama ninayo kabisa, Mimi ni mtu huru sipendi haya mambo kwanini watu wanadhurumiwa haki zao za kuishi ? Kwanini Polisi wana associate na Siasa ? Kwanini wenye Mamlaka katika nchi hii wanaminya haki za binadamu wasio na Mamlaka ?
 
Hata Gaddafi aliita watu mende, ila mwisho wa siku yeye ndio aligeuka mende.
Mwisho wake uliamuliwa akiwa amejificha kwenye Calvert ya kupitisha maji machafu chini ya barabara. Aliokotwa kama paka anayookota panya toka shimoni. The most powerful and feared Canal Mohammad Gaddafi ended his life cowardly while fleeing from the advancing citizens army he had lead with an iron arm for over 30 years. It should have been a lesson to other similar Dictators in Africa
 
..Mama Abduli uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.

..Ccm wamejikuta na Mwenyekiti na Raisi asiye na uwezo na hawana uhakika na nini cha kufanya.

..mtu anayefikiri sawasawa hawezi kutoa kauli za kifedhuli wakati watu wako kwenye msiba.
 
The Killers!
 
source ya habari yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…