Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #261
CCM hatuna watu aina yako ma Bon Yai.Mimi ni Kada mtiifu wa CCM kijana sema sipendi maunafiki tu 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hatuna watu aina yako ma Bon Yai.Mimi ni Kada mtiifu wa CCM kijana sema sipendi maunafiki tu 🤣🤣🤣
Labda Kada mvuta bhangi! 🤣🤣Mimi ni Kada mtiifu wa CCM kijana sema sipendi maunafiki tu 🤣🤣🤣
Na kadi ya chama ninayo kabisa, Mimi ni mtu huru sipendi haya mambo kwanini watu wanadhurumiwa haki zao za kuishi ? Kwanini Polisi wana associate na Siasa ? Kwanini wenye Mamlaka katika nchi hii wanaminya haki za binadamu wasio na Mamlaka ?CCM hatuna watu aina yako ma Bon Yai.
Akili yako imechanganyika na tope.Labda Kada mvuta bhangi! 🤣🤣
Yako imechanganyika na bhangi.Akili yako imechanganyika na tope.
Mwisho wake uliamuliwa akiwa amejificha kwenye Calvert ya kupitisha maji machafu chini ya barabara. Aliokotwa kama paka anayookota panya toka shimoni. The most powerful and feared Canal Mohammad Gaddafi ended his life cowardly while fleeing from the advancing citizens army he had lead with an iron arm for over 30 years. It should have been a lesson to other similar Dictators in AfricaHata Gaddafi aliita watu mende, ila mwisho wa siku yeye ndio aligeuka mende.
unafikiri watanzania watakuwa wanatishika kila siku, siku hiyo yaja, hata isipokuwa 23, elewa inakujaKama Mwanaume basi toa pua yako uipeleke barabarani ukione cha mtema kuni.
Labda Kada mvuta bhangi! 🤣🤣
Be watchful may be you are the next .Awamu hii wameafikiana atekwe nani?
Propaganda tupu!View attachment 3101419
Huu ndio ujinga unaonifanya niwe against na nyie Wajinga wa humu mitandaoni
Hamna na nani wewe papai? Wenye CCM yao unaona wanahangaika kama wewe? Mishipa ya shingo inakutoka kujipinda kuwasifia wenye CCM yao kwa mshahara wa kutupiwa makombo.CCM hatuna watu aina yako ma Bon Yai.
The Killers!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
source ya habari yako?Ndugu zangu Watanzania,

Mfano?katika nchi zenye uwajibikaji, hao wote wawili wangekuwa hawako katika ofisi za umma.
ile sheria ya kutokuwashtaki/kutokuwagusa wanaowaita wanausalama, itawayumbisha kweli kweli. Walitegemea itasaidia kumaliza CDM sasa maji ya shingo, wait....Itakuwa ripoti imekamilika 🐼
Pole sana kijana, hypocrisy ndio mpango mzima, tuna wanaume wa ajabu sana kizazi hiki. ongea bidii.Nenda uandamane ndio utajuwa kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.
walioua hawashatakiki kwa sheria ya bunge la ccm; sasa wafanyaje''Mazungumzo mazito sana'', ''Hotuba nzito sana'' ndo nini mbona taarifa yako ni ya kichawa chawa sana?