Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Una hali mbaya sana katika afya ya akili yako dogo. Mama anaendelea kusalia madarakani mpaka 2030 utake usitake.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na
Makamishna wa Jeshi Polisi Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 

Attachments

  • VID-20240920-WA0057.mp4
    10.7 MB
Raia sahv hawana imani na jeshi la polisi kwa kila kitu kwa ujumlaa

Ova
Labda wewe ndio huna imani kwasababu ya uhalifu wako. Lakini watanzania wanatambua kazi kubwa ya jeshi la polisi katika kuimarisha usalama wa Raia na mali zao.ndio maana watu wanafanya kazi usiku na mchana bila wasiwasi wala hofu ,huku magari yakitembea usiku kucha kusafirisha abiria na mizigo.
 
Aweke wazi ripoti za tume zote za kuchunguza polisi na masuala ya mifumo ya haki.

Kabla ya hapo hii mikutano yote ni propaganda za kisiasa tu.
 
Wakitukana wanakamatwa kama kawaida

USSR
 
Watekaji wamefanya kikao kizito cha kuendelea kuteka wapinzani.
 
We unaandika kwa kujikombakomba
Ila chukua hiyoooo.....weka kwenye bongo yako sahv sahivi raia hawana imani na polisi kwenye uwajibikaji wao wote

ova
 
We mwehu tangu lini umekua mwandishi wa ikulu
 
Kuandamana nako ni kwa mjibu wa sheria ndani ya katiba,mengine yanayotokea yanatokana na wenye uchu na madaraka wavunja katiba wanaofikri kuandamana ni kutia mchanga kitumbua chao.
Maandamano yamepigwa marufuku.kwa hiyo ukijifanya kichwa maji utakutana na mkono wa dola.
 
UBALOZI WA USA WASHAMJIBU MAMA UNA HABARI? MMEHARISHA NA KUNYA KWENYE 4R ZAKE NAYEYE KAWASIFIA KWA KUNYA KWENU KWENYE 4R ZAKE MMEMHARIBIA SANA NAYEYE BILA KUJUA UNAFIKI WA WATANGANYIKA KAINGIA KWENYE 18 ZENU.
Naona una ropoka Hovyo hovyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…