Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Tii sheria bila shuruti.acha kushupaza shingo.
 
Jeshi la polisi halipo serious na maisha ya watanzania. Baadhi ya maofisa wake wa jeshi la polisi wametajwa kwa majina nyakati tofauti wakituhumiwa kuteka, kutesa na kuua. Lakini Uongozi wa juu wa jeshi la polisi wameshindwa kuchukuwa hatu japo za kuwasimamisha ili kupisha uchunguzi.

Ila mama ni mwoga sana. Huwa anapandisha sukari anapokuwa karibu na vyombo vya ulinzi na usalama.
Mwanzo ilikuwa wakati akiongea na maafisa wa jeshi na juzi akiongea na viongizi wa jeshi la polisi.
 
Kenge katika ubora wao, vilaza wamekutana, huyu IGP, anaelimu ya kuunga unga, alikuwepo Said Mwema, Professional law enforcement officer kutoka Interpol, sio huyu kilaza na mafunzo ya kuunga unga
 
Sijajua ni lugha Gani au mbinu Gani ambayo itatumika kumuuza yule bibu 2025 kwa wananchi ili akubalike
 
Wewe niamini mimi tu ndugu yangu mtanzania na endelea kunifuatilia mimi tu .kwa hakika utafurahi Mwenyewe na kububujikwa machozi ya furaha.
Siwezi kuamini watu wasioguswa na upotevu na utekaji ama mauaji ya ndugu zao eti kifo ni kifo tu next andikieni hotubu isiyotia aibu
 
Kazi wanayo iweza vizuri ni kuteka na kuuwa watanganyika. Wataingia kwenye record kama wauwaji wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…