Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais🤣🤣🤣
Maendeleo hayana vyama
Kwenye rafu kama hizi lakini mbele ya haki hata wewe utamshinda magu mapema.
 
Weka video tuisikie, maana hapa ni kama na chumvi inakolezwa pia
 
Kazi imeanza rasmi ,

Ngoja tusikie another version ya story ya Risasi.
 
Kama aligoma kumtibu akadhani atakufa na kumunyima mshahara na baadaye akashangilia Lissu kupoteza ubunge inabidi tumuombee
 
Tundu Lisu anafaa kuwa AG au DPP lakini siyo Rais wa Tanzania!
Pekee asiyefaa kabisa kuwa Rais popote duniani ni John Pombe Joseph Magufuli wa Chato tulifanya makosa makubwa sana mwaka 2015 akawa madarakani miaka 5 ya maumivu akilindwa na Katiba na CCM. Bungeni wapo hata akina Kibajani haishangazi lakini Cha kushangaza na kujiuliza ni Marais wa Awamu ya Tatu na Nne waliona Nini kwa mtu huyu kumfanya Waziri wao miaka 20 na mbaya zaidi mmojawapo akambeba mpaka alipo Sasa.

Katika kujaribu kuonyesha anafaa, Ikulu imefanywa kuwa rahisi kwa yeyote kukaa na hata kutembelea mpaka utakatifu wa Ikulu wa Nyerere imepotea. Kiongozi mzuri huonekana mapema kabisa kabla hajapewa uongozi kwa matendo yake kwa jamii lakini huyu hakuonekana kama mwalimu wala Mbunge wala Waziri wala hata Rais ashukuru tu Chama chake na Watanzania.
 
Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote
Mawazo mgando. Aliyekuambia wanachama wote wanapigia kura chama husika ni nani?
Mfano mzuri umesema CHADEMA wana wanachama 2m na mwaka 2015 walipata
kura zaidi ya 6m.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Mawazo mgando. Aliyekuambia wanachama wote wanapigia kura chama husika ni nani?
Mfano mzuri umesema CHADEMA wana wanachama 2m na mwaka 2015 walipata
kura zaidi ya 6m.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Mambo yamebadilika, usishangae mwaka huu chadema wakikosa hata kura million 1🤣🤣🤣
 
Mambo yamebadilika, usishangae mwaka huu chadema wakikosa hata kura million 1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania wengi sasa hivi wanajielewa baada ya kudanganywa muda mrefu.Pengine hata wewe ni mhanga wa hali ngumu ya maisha lakini unaamua kujitoa akili na kushangilia ujinga

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa ana hofu ya Mungu kikubwa ambacho angefanya ni kuomba radhi kwa yale aliyofanyiwa mwenzake ile tarehe 07-09-2020 hapo walau kwenda kwake kanisani kungekuwa na maana, ndio maana wengine hatuoni faida ya kwenda makanisani.

Lakini kwa hayo matamshi inaonekana ni kejeli tu na kiburi cha kuja kuiba kura, hamna lolote.
 
Magufuli kama anataka kuomba masamaha anaweza kuomba wazi au kumpigia simu Lissu kama mwanaume mwenzake. Wameshafanyanaye kazi bungeni na wanajuana. Hakuna sababu ya kuomba msamaha kwa aibu aibu ni bora uombe wazi na utapongezwa. Sema ukweli waliotaka kumuua umewatoa usalama wa taifa na Magu sema kwamba huyatoa order ulikuwa unaongea kwa ukali na hisia lakini usalama wa taifa wakachukulia kama ni order. Lakini watu wale wameteka watu wengi na wengi kufa kwa manufaa ya viongozi wachache wa usalama wa taifa. Vilevile wale viongozi kama ni kweli hajawapa order wafunguliwe kesi. Lissu hawezi kufanya kazi serikalini wakati anaishi kwa wasiwasi kila siku! Lakini haya ni baada ya uchaguzi.
 
Tuna mtaka Bwana Yule na yy aende chato Kama atapata hata watu 50
 
Back
Top Bottom