Kwenye rafu kama hizi lakini mbele ya haki hata wewe utamshinda magu mapema.Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais🤣🤣🤣
Maendeleo hayana vyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye rafu kama hizi lakini mbele ya haki hata wewe utamshinda magu mapema.Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais🤣🤣🤣
Maendeleo hayana vyama
Hiyo Ni ya TISS. Ila na we mavi yalikubana uluposikia habari za pingamizi, uluoina sass zamu ya lumumba kupigwa mabomu umewadiaUlimsaidia wewe kujaza
Pekee asiyefaa kabisa kuwa Rais popote duniani ni John Pombe Joseph Magufuli wa Chato tulifanya makosa makubwa sana mwaka 2015 akawa madarakani miaka 5 ya maumivu akilindwa na Katiba na CCM. Bungeni wapo hata akina Kibajani haishangazi lakini Cha kushangaza na kujiuliza ni Marais wa Awamu ya Tatu na Nne waliona Nini kwa mtu huyu kumfanya Waziri wao miaka 20 na mbaya zaidi mmojawapo akambeba mpaka alipo Sasa.Tundu Lisu anafaa kuwa AG au DPP lakini siyo Rais wa Tanzania!
Mawazo mgando. Aliyekuambia wanachama wote wanapigia kura chama husika ni nani?Tuseme tuu ukweli...
1.Jumla ya wapiga kura 29M
2.Jumla ya wanachama CCM 15M+
3.Jumla ya wanachama chadema 2M
Hebu tafuta uwiano hapo ulete jibu nani mshindi, na bado huku mtaani wajumbe 97%+ wameshamaliza kazi yao kuimarisha chama. CCM wamejipanga na mwaka huu wamejipanga kwelikweli. Ushindi kama wote
Mambo yamebadilika, usishangae mwaka huu chadema wakikosa hata kura million 1🤣🤣🤣Mawazo mgando. Aliyekuambia wanachama wote wanapigia kura chama husika ni nani?
Mfano mzuri umesema CHADEMA wana wanachama 2m na mwaka 2015 walipata
kura zaidi ya 6m.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Watanzania wengi sasa hivi wanajielewa baada ya kudanganywa muda mrefu.Pengine hata wewe ni mhanga wa hali ngumu ya maisha lakini unaamua kujitoa akili na kushangilia ujingaMambo yamebadilika, usishangae mwaka huu chadema wakikosa hata kura million 1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hali ngumu kwaonaona dalili za Chadema kukimbia mtanange
Si bora yeye anahimiza wanawake kwa wanaume kuliko yule wenu?Ataokota makopo anayehimiza watu wapigane miti
Katambi ndiyo afanye mdahalo na Lissu?Upo, katambi aliomba yeye anatosha kwenye huo mdahalo, Kama mna ubavu itisheni huo mdahalo.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ila mramba nini?Huyo co mlamba viatu kama ww