Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

😁😁😄😁ni ndefu sana mkuu ila tuu kifupi ni kwamba nilirogwa nisipate pesa wala mahusiano na mwanamke mwengine yaani niwe nae yeye tuu afu niwe masikini awe ananiburuza
Wooi,. Kwamba uwe masikini?,. Huyo alikua na hatari😆😆
 
Ndoa bado lakini process zingine zote tayari,. Asa anashindwa hata kujiheshimu jamani atulie walau jambo lipite kwanza mmnh
I guess, Leejay you're the one, aren't you? 😜🙊 (Just kidding)
Anyway, kwakuwa uncle haambiliki, hakuna namna ya kumsaidia but nachowaomba yule dada msimtenge hata kama ataachwa solemba kuweni faraja yake.
 
Atawasema mlimlazimisha kuowa na mchumba mlimletea nyinyi. Atawapakazia ubaya hamtaamini nyie ndiyo mtaonekana wabaya hamfai kabisa.
 
Baba angu mdogo siku ya kwamba kesho harusi yake. Wakati wanajiandaa yeye akaoa mke mwingine akamuweka ndani, akaendelea na harusi, baaada ya harusi akamtambulisha kwa mke mwingine.

Mambo yakaendelea Hadi Leo wote ni wake zake.
 
Heeey!😳😳,. Huyo anabalaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…