Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Unalijua tego la lukolo? Hadi mifugo yenu inaachia kambaa.
Wee subiri uone mambo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haha DahπŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚,
Huyu Uncle anachotutafutia anakijua mwenyewe maana naona ameshatuchoka ndugu zake
 
Yaan ukweni mnajua kila kitu afu mna kausha? Anaanza na nyie kwani, fagia wotee.
Yaan kwishaaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
HahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Asa si tufanyaje na mhusika mwenyewe mkali kama mbogo
 
Wee ni binti mkubwa anaweza akawa amenizidi hata miaka6 naanzaje kuzumgumza nae,. Na sijawahi kumzoea hata namba yake sina namuonaga tu kwenye matukio kama hivyo basi
Uoga wako tu kigezo cha kukuzidi umri sio kigezo cha kutompa ukweli aanze kujinasua , labda hofu ni akimwambia huyo ankoli atakuja akubebe akisikia wewe ndio umechomeshaπŸ˜‚
 
Uoga wako tu kigezo cha kukuzidi umri sio kigezo cha kutompa ukweli aanze kujinasua , labda hofu ni akimwambia huyo ankoli atakuja akubebe akisikia wewe ndio umechomeshaπŸ˜‚
Kwanza atakuja anipige mateke anivunje kiunoπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,.
Labda atokee mtu amuadd kwenye group la michango,. Au hata kwa namba ngeni mtu amwambie lakini lazima atamuuliza mhusika na mambo yote yataanzia hapo,.
 
Mbna yeye hamu mstui kuwa hapa unachezewa, pita hivi? Vitenge na zawadi mnapokea eeeh?
Subirini mfurahishwee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Zawadi hazikataliwi mweπŸ˜ƒπŸ€£
 
Mbna yeye hamu mstui kuwa hapa unachezewa, pita hivi? Vitenge na zawadi mnapokea eeeh?
Subirini mfurahishwee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ningekuwa kwa hiyo familia hilo group la michango naleft sichangiπŸ˜‚πŸ˜‚ dalili ya ndoa inaonesha bado moshi mweusi
 
Yaan ukweni mnajua kila kitu afu mna kausha? Anaanza na nyie kwani, fagia wotee.
Yaan kwishaaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sie anko wangu tulijua ana mwanamke na ana mtoto na tulipiga kimya na hakuna aliyemwambia aunt,maana nae alikuwa hajamuoa, lkn anko tulimpa option 2 afunge ndoa na mzazi mwezie au na mwanamke anae ishi nae, wote hajafunga nao ndoa,,,kaoa mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…