Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Sisi ni wakristo sidhani kama inawezekana,.
Basi tu sijui yukoje yaani anajiamini mno na marafiki zake wala hata hawajigusi hata kumshauri mambo yake kwasabu mtata sana
Sasa wewe ulitaka aishi vipi wakati mke mtarajiwa yupo nje ya nchi? We unajua ni jambo jepesi Mwanaume kuishi bila Mwanamke?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni balaa hilo, linapita na yeyote aliye ndani ya undugu, hadi mifugo ni fagia fagia tyuuh.
Afu mlengwa ndo anakua wa mwisho na kuzima tego.

Wataisha hawa wee subiri. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lapatikana wapi hili tegoπŸ˜†
 
Sie anko wangu tulijua ana mwanamke na ana mtoto na tulipiga kimya na hakuna aliyemwambia aunt,maana nae alikuwa hajamuoa, lkn anko tulimpa option 2 afunge ndoa na mzazi mwezie au na mwanamke anae ishi nae, wote hajafunga nao ndoa,,,kaoa mwingine.
HeeeyπŸ˜ŸπŸ€”,. Huyo wenu kiboko πŸ˜†πŸ˜†
Maanake kati ya wote hakuna aliyemuoa
 
.......kwanza hongera zao kwa kuwa na mikakati ya ndoa, zifuatazo ni assumptions
1. Kijana wenu ana malezi mabovu na hivyo Hana haiba ya ndoa au kuwa baba
2. Binti amempenda ndugu yenu kwa dhati yupo tayari kwa ndoa kitu ambacho ni opposite Kwa mwezie
3. Distance relationship haijawahi kumuacha mtu salama, hii imepelekea binti kakosa muda wa kumjua japo kidogo huyo ndugu yenu
........ conclusion: fedhea ipo mbioni kuwakuta, huwa kuna vikao vya familia, mnaweza kukaa kumjadili ndugu yenu kama yupo matured enough kuishi katika ndoa, mnaweza mkamshauri jambo coz mnajua kuwa ndugu yenu ni dish, mko kwenye nafasi ya kuokoa hatima ya dada, oyaa utajisikiaje dadaako akizaa na mvuta bange!! it pains a lot!.......
 
Sie anko wangu tulijua ana mwanamke na ana mtoto na tulipiga kimya na hakuna aliyemwambia aunt,maana nae alikuwa hajamuoa, lkn anko tulimpa option 2 afunge ndoa na mzazi mwezie au na mwanamke anae ishi nae, wote hajafunga nao ndoa,,,kaoa mwingine.
Hao ma aunt zako wana huruma, ingekua wengine, mbna huyo anco mngesha sahau km alikuwepogi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa wewe ulitaka aishi vipi wakati mke mtarajiwa yupo nje ya nchi? We unajua ni jambo jepesi Mwanaume kuishi bila Mwanamke?
Tunajua haiwezekani lakini basi hata afanye kwa siri jamani, yeye anajiachia tu
 
Ndio hajui masikini,. Watu wanamchora tuπŸ₯²πŸ˜‚
Huyo Dada nae kiazi yani ata kushtuka, kwelu Binadamu tuna tofautiana kwenye kuhisi jambo, ingelikua Mimi roho ingeniambia kuna kitu hakipo sawa na baada ya siku chahe ningejua
 
Serious kama mwanamke kuna namna inaumiza kwasabu najitahidi kuvaa viatu vya hao mabinti kila mmoja kwa nafasi yake ikitokea amejua naona havinitoshi,. Ni mtu asiyeskia la kuambiwa na mtu yeyote,. Ndio maana kila mtu ameamua tu kunyamaza kusubiri kitakachotokea maana kama kuongea nae wameongea nae sana na wamemsema sana lakini hasikiii
 
Kwakweli kila mtu anaomba tu lipite salama,. Maana hii aibu kama familia sijui tutajificha wapi
Me sioni tatizo maana ni maamuzi ya muoaji,

Family tulien tu,tulifikwa na jambo kama hili na binti aliyemzalisha anko ni jirani aisee, ndoa ilipita ya kibabe, wakamalizana wenyewe hukohuko si tulijizima data,,,,,,japo mwanzo aliteseka maana alijiwekea 100/100 ataolewa yeye.
 
Sasa mnamshika mkono kichochea tatizo, hapo ombeni hao wadada wawe wapole wasio na kisasi
Ndio kilichobaki maana mhusika ameshasemwa sana lakini hataki kumskiliza yeyote,. Wote wameamua tu kunyamaza kuona itakavyokua
 
Huyo Dada nae kiazi yani ata kushtuka, kwelu Binadamu tuna tofautiana kwenye kuhisi jambo, ingelikua Mimi roho ingeniambia kuna kitu hakipo sawa na baada ya siku chahe ningejua
Mapenzi sometimes nadhani yanapumbaza akili,. Kwanza mtu mwogo anajulikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…