Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Basi na hili litapita,. Kuomba tu binti asiwe na roho ya kisasi
 
Huo ukoo wenu siyo wa kuoa au kuolewa. Yaani mnaona matatizo makubwa hivyo mnasema uncle eti anavuta bangi kwa hiyo mnaendelea kupokea vizawadi. Wote nyie watu wa hovyo Sana.
 
Huo ukoo wenu siyo wa kuoa au kuolewa. Yaani mnaona matatizo makubwa hivyo mnasema uncle eti anavuta bangi kwa hiyo mnaendelea kupokea vizawadi. Wote nyie watu wa hovyo Sana.
Loh!,. Asante
 
NI last born kama wako,habari ya kuoa wakubwa zake wakimshauri aoe wala alikuwa asikii,kumbe alikuwa na demu wake,,hawa alikuwa anaruka nao tu.
Alikua ameshajipanga na ana mipango yake kichwani tayari πŸ˜„πŸ€£πŸ˜‚,.
Ngoja tuone kwanza
 
Mwache ataoa wake wawili kwa siku moja kama alivyofanya dr mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…