Madalali hawajielewi! Au huko chunya hawapo?Unajua maana ya neno "potential". Mimi Dar sipajui lakini eneo kuuzwa hiyo bei sio ajabu fika ukaone kuna potential gani mpaka kuuzwa hiyo bei.
Tatizo tunapenda tu kukosoa hata hatujui ni eneo gani nyumba ilipo.
Ni eneo hapo sio nyumba kwa Dar maeneo ya Kinyerezi sio ishu hiyo Bei. Kijana Punguza ujuaji halafu kiwanja ndio mali pesa ni makaratasi tu.Ila wabongo, aya bwana.
View attachment 3217434
Mimi ni Ngarenaro mama Chunya napasikia tuMadalali hawajielewi! Au huko chunya hawapo?
Mkoa ganiMimi ni Ngarenaro
Alafu kinyerezi napo maeneo bei sio kinyonge, inategemea na umbali kutoka kwenye huduma za kijamii kama barabara n.kNaona babe wangu ephen_ ananipinga katika hilo.
Okay.Kinyerezi milima ni mingi, hata hiyo nyumba inaonekana ipo mlimani kabisa.
Arusha ndio makazi, bomani ndio malazi.Mkoa gani
15 hiyo ni bei ya kiwanjaMaybe almsot 15 to 10, chezea dalali
Hiyo nyumba haitauzika 😅Maybe almsot 15 to 10, chezea dalali
Common sense is not common mdogo wangu. Watu wanaenda na mkondo wa maji. Band wagon.Nilichogundua watu wengi hawajui kuwa kinachouzwa hapo ni eneo na wala sio nyumba.
Ingeweza kuwa ni nyumba ya tope lakini kinachoangaliwa ni location na potential ya eneo.
Nina 1m kama anakula aje DM fastaIla wabongo, aya bwana.
View attachment 3217434
Ni yeye na I'd nyingineUna undugu na Poor Brain
Thamani ya nyumba inahusu hasa location. Kuna mahali kiwanja tu cha 600sqm bei yake ni 400m.Ila wabongo, aya bwana.
View attachment 3217434
Yeah sure. Hapa Arusha makao mapya watu wameuza nyumba zile za miaka ya 70 kwa hundreds of millions.Common sense is not common mdogo wangu. Watu wanaenda na mkondo wa maji. Band wagon.