Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
kwa kuangalia mazingira yalivyo hatokosa 25m-30m, angalia video kwenye link naiweka hapa chini, imebidi nikasearchHiyo nyumba haitauzika π
Kumbe! Ila kwa nini wanaanza na bei kubwa hivo?kwa kuangalia mazingira yalivyo hatokosa 25m-30m, angalia video kwenye link naiweka hapa chini, imebidi nikasearch
View: https://www.instagram.com/reel/DFX9sHysmWo/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
View attachment 3217454
Lengo la mleta mada sijui ni kuchafua madalali, picha aliyoambatanisha haina maelezo yote muhimu ya eneo linalouzwa na ameyaacha sijui ni bahati mbaya au kakusudia kuyaficha ili lengo lake lifanikiwe.
umetizama hiyo video? Kwa uzoefu wangu hayo mazingira hiyo bei sio kubwa kivile na inazungumzika.Kumbe! Ila kwa nini wanaanza na bei kubwa hivo?
Ndio nimeona, mimi nashangaa tu wanavyotanguliza bei ya Juu namna hiyo angeweka hata 28.umetizama hiyo video? Kwa uzoefu wangu hayo mazingira hiyo bei sio kubwa kivile na inazungumzika.
unajua bei ya ardhi ilivyo kifuru?Ndio nimeona, mimi nashangaa tu wanavyotanguliza bei ya Juu namna hiyo angeweka hata 28.
Najua ila sasa hiyo nyumba mtu ataibomoaunajua bei ya ardhi ilivyo kifuru?
Na wengi ndivyo wanavyofanyaNajua ila sasa hiyo nyumba mtu ataibomoa
We huna hela ya kununua kwahyo lazima uone hivyo mkuu.Yani ni fala pekee ndio atanunua hapo hata kwa 30m
ππππmkuu tundu la 40k lipo vp ??? Si imechoka balaa hyoU d t need a million in ur account to gegeda mbususu ya 40k
Madalali wanapiga pesa nyingiNa wengi ndivyo wanavyofanya
Ndio kula yao ilipo, demand yako ndio inakufanya uwape pesa wala sio kingine.Madalali wanapiga pesa nyingi
Kazi kweli kweliNa wengi ndivyo wanavyofanya
Inategemea na thamani ya eneo iliyopo mkuu.Ila wabongo, aya bwana.
View attachment 3217434
Alafu nyie kenge ndio mnapandisha bei ya mbususus huku tinder na badooo. 40k kwa mbususu kwanza mbona nyingi.ππππmkuu tundu la 40k lipo vp ??? Si imechoka balaa hyo