Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Mpumbavu ndio atanunua

Alie na pesa hard cash hawez kuzipepeurusha humu mjue anazo
Kaka ukiona sehem wananunua wenye pesa kwa hela nyingi unaweza dharau, kinachofanya mtu atoe hiyo pesa ni malengo yake na uhitaji wake kulingana na eneo lilipo.
 
Jamani kama utasikia kuna mtu anauza nyumba au kiwanja maeneo ya Goba, Tegeta, Boko au Bunju kwa bei kati ya milioni 20 hadi 30, ukubwa wowote haina shida, wewe muache tu aiuze mimi sina hela kwa sasa.
Mhh sawa
 
Nunua nyumba kijana mbona iko fresh SI unacheki ina gutter, bati ya alaf Simba dumu.
Ipo kiliman Kama nyumba za Hollywood.

Umeongea kama mwenye page ya Sossy Magari Instagram, huwa nacheka sana nikipita ile page.
 
Nilichogundua watu wengi hawajui kuwa kinachouzwa hapo ni eneo na wala sio nyumba.

Ingeweza kuwa ni nyumba ya tope lakini kinachoangaliwa ni location na potential ya eneo.
Amesema anauza nyumba sio kiwanja kwa hio hapo anakuuzia nyumba ila kiwanja kinabakia kua mali yake in case pakitokea lolote kiwanja kikitakiwa na Serikali ikivunja nyumba mgao wake wa kiwanja upo pale pale wewe atakupa % za nyumba aliyokuuzia tu
 
Sema kifuru sio kinyerezi aisee dalali ache utapeli huko kuna mabonde ya kutosha kama bonyokwa.
 
Amshawishi jirani yake hapo namuona yupo vizuri apanunue aongeze eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…