Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Chukua mwekundu mmoja andika namba yako mpatie. Utakuja kunishukuru.😀
 
Chukua mwekundu mmoja andika namba yako mpatie. Utakuja kunishukuru.😀
Hujakutana na wahuni wewe!

Yaani unatongoza kwa kubet?

Hela inapokelewa halafu haupati support wala mrejesho, utaidai?

Hela hiyo inatosha kumlipa kuwadi, anaenda kukukamatia kama kuku na kukuletea hadi chumbani kwako kitandani.
 
[emoji16][emoji16]
 
Apitie hali yoyote kimpango wake. Mwanamke anatakiwa kuwa na mipaka si kutoa toa namba kama njugu. Hivi siku ukijua mwanamke wako anagawa gawa namba utamuelewaje? Mipaka muhimu.
Yaaani atachezea kipigo heavy...
Kutoa toa namba ni kujishusha hadhi 😂😂😂😂😂😂😂
Sema daah namuonea huruma men mwenzangu anapopata ule mfadhaiko kweli hapo tuu nasema bora utoe hata ya uongo
 
Ukinyimwa kausha tu mzee na ukikutana nae ten weka wa mbuzii km haumjui ,atataman akugei nmba ila mkazie spendi tabia za hvo mm bora useme unae mtu.
 
Yaaani atachezea kipigo heavy...
Kutoa toa namba ni kujishusha hadhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema daah namuonea huruma men mwenzangu anapopata ule mfadhaiko kweli hapo tuu nasema bora utoe hata ya uongo
Unaona sasa wewe mwenyewe umekubali. Sio vizuri kugawa gawa namba hasa kwa mtoto wa kike.
 
Inaumiza Sana isee,hasa kwa sisi wenye muonekano usivutia daah tunapitia magumu sana,unakutana na demu umemuelewa unamuomba namba anakuangalia tokea chini Hadi juu afu anakujibu Sina simu daah inauma!
 
Hujakutana na wahuni wewe!

Yaani unatongoza kwa kubet?

Hela inapokelewa halafu haupati support wala mrejesho, utaidai?

Hela hiyo inatosha kumlipa kuwadi, anaenda kukukamatia kama kuku na kukuletea hadi chumbani kwako kitandani.
It was just a joke.
 
sinyimi namba mm,,ila sasa tutawasiliana kwel 😄,, maana unaeza jichatisha ad ufute namba mwenyewe nkiwa interested tutaishi tu kwa salamu ad tuchokane kisha upotee
 
Unasimamisha hovyo?

Kama kuna nafasi piga naye stori dakika moja, establish rapport kwanza.

Kama hamna nafasi mpe card au namba yako, kama yuko interested atakucheki
Tatizo lipo Kwenye kupokea number mkuu,unaeza ukampa number akakukatalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…