Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Sasa jamii inishangae kisa kutotoa namba? Jamii ya wapi hiyo?Kitendo unachofanya jamii inakushangaa sana....
Mkuu wewe unaangaliaga TBC taifa nini...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jamii inishangae kisa kutotoa namba? Jamii ya wapi hiyo?Kitendo unachofanya jamii inakushangaa sana....
Mkuu wewe unaangaliaga TBC taifa nini...?
Aiseee hivi unajua hali anayopitia mtu kimawazo kwa kitendo ulichofanya..?Sasa jamii inishangae kisa kutotoa namba? Jamii ya wapi hiyo?
Chukua mwekundu mmoja andika namba yako mpatie. Utakuja kunishukuru.😀Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Sikuhiz tunakupea alafu tunakublock
Apitie hali yoyote kimpango wake. Mwanamke anatakiwa kuwa na mipaka si kutoa toa namba kama njugu. Hivi siku ukijua mwanamke wako anagawa gawa namba utamuelewaje? Mipaka muhimu.Aiseee hivi unajua hali anayopitia mtu kimawazo kwa kitendo ulichofanya..?
Hujakutana na wahuni wewe!Chukua mwekundu mmoja andika namba yako mpatie. Utakuja kunishukuru.😀
[emoji16][emoji16]Kuna huyo mdada tulikutana Sinza Palestine pale mm nimempeleka mdogo wangu hospital na yy kamleta mdogo wake tulifika mda sawa nikawa nazurura nae Kwenye kulipia hiki na kile mara sindano nahis alijua ntachukua no zake maaana nliongea nae mengi lkn sikuhangaika, kama mara mbili nikapanda nae Bajaj akaja akachukua namba yy akaniambia utakufa na nyeto
Yaaani atachezea kipigo heavy...Apitie hali yoyote kimpango wake. Mwanamke anatakiwa kuwa na mipaka si kutoa toa namba kama njugu. Hivi siku ukijua mwanamke wako anagawa gawa namba utamuelewaje? Mipaka muhimu.
Dadek 😂😂😂😂Hujakutana na wahuni wewe!
Yaani unatongoza kwa kubet?
Hela inapokelewa halafu haupati support wala mrejesho, utaidai?
Unaona sasa wewe mwenyewe umekubali. Sio vizuri kugawa gawa namba hasa kwa mtoto wa kike.Yaaani atachezea kipigo heavy...
Kutoa toa namba ni kujishusha hadhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema daah namuonea huruma men mwenzangu anapopata ule mfadhaiko kweli hapo tuu nasema bora utoe hata ya uongo
Kabisa, mie hachangamki nami, siwezi kabisa changamka nae.Hii nzuri. Kwanza mwanamke ukimshobokea ndio unavyozidi kumfukuzia mbali. Acha ajae mwenyewe wewe unakua umebakiwa na kazi ndogo tu.
Haki ya mungu tena.Weeee apia!!!
It was just a joke.Hujakutana na wahuni wewe!
Yaani unatongoza kwa kubet?
Hela inapokelewa halafu haupati support wala mrejesho, utaidai?
Hela hiyo inatosha kumlipa kuwadi, anaenda kukukamatia kama kuku na kukuletea hadi chumbani kwako kitandani.
Tatizo lipo Kwenye kupokea number mkuu,unaeza ukampa number akakukataliaUnasimamisha hovyo?
Kama kuna nafasi piga naye stori dakika moja, establish rapport kwanza.
Kama hamna nafasi mpe card au namba yako, kama yuko interested atakucheki
Huwa hatukatai mkitoa namba, tunachukua. Ila sasa kwenye kukutafuta ndio kipengeleTatizo lipo Kwenye kupokea number mkuu,unaeza ukampa number akakukatalia