GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Aisee! Bora tu Mzungu alizitawala kwa muda nchi za Kiafrika.Tumetoka mbali lakini bado tuna kazi nzito mbele yetu.
View attachment 2828506View attachment 2828505View attachment 2828507
Kuna wengine wanasema baadhi ya tabia hizi zilikuwa na lengo la kizuia Waarabu wafanyabiashara ya Utumwa wasiwachukie Mabibi na Mababu zetu na kuwapeleka sokoni Zanzibar.
Na kuna wengine wanasema Plate ya puani ilikuwa ni ya kuwekea Ugoro na ya mdomoni ni ya Ugali who knows?!
Farao alifanyeje mkuu?Tufanye kama Farao alivyowabadilisha Wanubi.
Alizichanganya Jamii za Kinubi na Kinatufi ambao ni asili ya Wakanani.Farao alifanyeje mkuu?
Aliwalazimisha kuona?Alizichanganya Jamii za Kinubi na Kinatufi ambao ni asili ya Wakanani.
Nadhani ilikuwa ni Experimental sio kama Zanzibar ambako Mzee Karume alifosi Mahamali ya Forodhani yavibake Vibinti vya Kiarabu na Kiajemi.Aliwalazimisha kuonana?
Mkuu, ilikuwaje? Aliunga mkono ubakaji au aliwahamasisha Waafrika kuwaoa Waarabu kwa lengo la kuondoa ubaguzi wa rangi?Nadhani ilikuwa ni Experimental sio kama Zanzibar ambako Mzee Karume alifosi Mahamali ya Forodhani yavibake Vibinti vya Kiarabu na Kiajemi.
Hakukua na Waarabu wakati huo, na hakukua na Racism wakati huo, Mafarao walichofanya ni kuunganisha Kingdom zote mbili ya Kaskazini ambayo ilikuwa na Washami na Wanubi na ya Kusini iliyokuwa na Nguvu za Kijeshi na iliyokuwa na Wanubi asilimia 97% na wote wakaunganishwa na Dini moja wakaanza kuoana na kuzaana.Mkuu, ilikuwaje? Aliunga mkono ubakaji au aliwahamasisha Waafrika kuwaoa Waarabu kwa lengo la kuondoa ubaguzi wa rangi?
Nafikiri yeye mwenyewe alionesha mfano kwa kufunga ndoa na Mwarabu.
SusburyKumbe unajua hivyo lakini haukemei bandiko la mleta mada. Akemewe
Kwani ni uongo?
Ukisema Kwao waafrika unasema kwao wapi? Afrika siyo Nchi itoshe hayo maendeleo unayoyasema ni maendeleo yepi hayo? Kuendeleza nini?
Ndio ingelikuwa na maendeleo.
Maendeleo ni nini? na yanaonekana vipi?
Fikiria na kukubalitulianza kama Jumuiya-watumwa-makaila-mabepari-wajamaa-kisha wakomunisti(hizi ni fikra tu).Mwafrika anaamini Toka rohoni mwake kuwa yeye ni Bora kuliko mwanadamu mwingine yeyote.angalia Mwafrika alikuwa Rais 1960 enzi za treni ya mvuke,kiongozi treni diesel,kiongozi treni ya umeme ,kiongozi enzi za standadi gechi na Sasa kiongozi enzi hizi za 5Gs,anan'gang'ana na vijana wa 5G,Kwetu maendeleo ni kubadilisha majina;badala ya boss aitwe 'ndugu' Badala ya Sulsbury tuite 'Harare'tuwaite mabeberu wao ni wazungu tu.Waulize ndugu zako wa huko Ulaya na Marekani kwa nini walienda huko na kwa nini kuna maelfu ya Waafrika wanafia bahari ya Mediterranean kila mwaka kufika ulaya.
Atasema kule kwa wale magaidi kisa walimdanganya kwamba utamaduni wao ndio dini..!!πππTukajifunze wapi sasa?
Mkuu unapenda sana debate. Najua hata nikijibu, utauliza tena swali jingine. Labda wewe utuambie maana ya maendeleo, kwa mtazamo wako.Kumbe unajua hivyo lakini haukemei bandiko la mleta mada. Akemewe
Kwani ni uongo?
Ukisema Kwao waafrika unasema kwao wapi? Afrika siyo Nchi itoshe hayo maendeleo unayoyasema ni maendeleo yepi hayo? Kuendeleza nini?
Ndio ingelikuwa na maendeleo.
Maendeleo ni nini? na yanaonekana vipi?
Kwa hiyo tuseme Wazungu walikuja kujifunza teknolojia Afrika Mashariki?Wacha hizo. Hivi unajua maan ya Tekenolojia? au unaona Kuchezea tiktok ndio technology?
Kwa taarifa yako hakuna eneo lingine lelote lile duniani ambalo lilikutwa na tekenolojia ya hali ya juu zaidi ya Afrika ans in particular katika maeneo yetu ya Afrika mashariki.
Hiyo teknolojia tunayohitaji kuendelea ndio ipi na imekosekana vipi hapa kwetu?
πππβ πKupanga miji
πππβ πKupanga miji,
Kudhibiti rushwa,
Mazingira bora na rafiki ya biashara,
Kuwajibika katika kutoa huduma kwa wateja kwa ubora na wakati.
Labda mkuu utuoneshe mfano ili tuone utakavyokuwa Bora. Unaweza kujitenga nao hata sasa kwa kutokutumia chochote kilichotokana na jitihada za Mzungu:Mimi naamini weusi kwa asili yetu tungekuwa hatujakutana na watu weupe dunia yetu ingekuwa bora sana,iliyojaa maadili heshima mtu kwa mtu etc.
π€«Tatizo letu ni IQ hafifu kama kuna watu walioishi karibu na watu weupe ni Waafrika Waamerika wamesoma Vyuo Vikuu huko USA lakini hawana tofauti sana na Waafrika wa Kongo ni kuimbaimba tu hata wale waliotengenezewa Taifa lao la Liberia hawana tofauti na Wasiera lione.
1. Kama watu wawili watatu wamejichubua, hakuhalalishi kusema kuwa Waafrika wameiga kwa Wazungu vitu visivyosaidia. Siyo wote wamefanya hivyo, naamini wewe hujafanya na hutafanya. Badala yake, umeiga machache tu mazuri, kama kuandika, kutumia simu, kutumia internet n.k. Vyote hivyo naamini umeiga kwa Wazungu, jambo ni jema pia. Wewe unafikiri usingejiongeza kutumia simu kama Mzungu tunafahamu kuwa kuna mwanamama aitwaye FaizaFoxy?Hakuna cha kujifunza, siku hizi watu wanafanya shortcut, wanjichubuwa na kula madawa wawe weupe wawe na akili. Na kuvaa nywele za maiti wa kizungu ndiyo kuwa na akili.
Au wanatembea uchi na kuiga wanavyoongea wazungu ndiyo akili hiyo.
Kwani kuna kitu tumefunzwa toka chekechea ambacho sio chao ? Unataka tujifunze nini zaidi ?Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Sahihi kujifunza kitu na kuki mold kwa utamaduni wako sio mbaya, ila ukisoma Uzi wa mtoa mada anamaanisha zaidi ya hapo, mpaka miziki, uongozi etc. Hutoboi ng'o kwa kufuata mfumo huo. Wachina hawajaendelea kwa Kusikiliza country music na kuiga Wazungu wanaendesha vipi Nchi zao.Mkuu, nafikiri kuna utofauti kati ya kuiga na kujifunza. Anayeiga hucopy na kupaste. Lakini anayejifunza, hutafuta kujua kwa lengo la kuweza kufanya maamuzi bila kumtegemea aliyemfundisha.
Ndiyo maana, pamoja na kuwa mgunduzi wa ndeke alikuwa Mmarekani, lakini teknolojia hiyo imeenea kwenye mataifa mbalimbali duniani, ikiwemo China. Kilichomsaidia Mchina ni unyemyekevu wake, kwamba alikubali kujifunza kwa Mzungu na Sasa anaweza kuunda ndege bila msaada wa Mzungu.
Hatari SanaπKuna kitu kinaitwa DEVIL πΏπΏπ INCARLINATION TRAP...
Yaan maji hufuata mkondo yaan kitoto Cha kiafrica kisicho jua chochote utashangaa kinafanya vitu vya kikubwa mpaka una staajabu kimejifunzia wapi π€£π€£ vice versa kitoto Cha kizungu kinakua very very civilized tangu tumboni mwa mama Ake na ndio maana wanabalikiwa sanaa...
Mtoto wa kizungu anapewa laptop π» au simu janja au tablets tangu wadogo na wanatumia in constructive matters mpe mtoto wa kiafrika kama sio kujaza miziki na kujaza picha za uchi na pornography