Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

Tumetoka mbali lakini bado tuna kazi nzito mbele yetu.
View attachment 2828506View attachment 2828505View attachment 2828507
Kuna wengine wanasema baadhi ya tabia hizi zilikuwa na lengo la kizuia Waarabu wafanyabiashara ya Utumwa wasiwachukie Mabibi na Mababu zetu na kuwapeleka sokoni Zanzibar.

Na kuna wengine wanasema Plate ya puani ilikuwa ni ya kuwekea Ugoro na ya mdomoni ni ya Ugali who knows?!
Aisee! Bora tu Mzungu alizitawala kwa muda nchi za Kiafrika.
 
Nadhani ilikuwa ni Experimental sio kama Zanzibar ambako Mzee Karume alifosi Mahamali ya Forodhani yavibake Vibinti vya Kiarabu na Kiajemi.
Mkuu, ilikuwaje? Aliunga mkono ubakaji au aliwahamasisha Waafrika kuwaoa Waarabu kwa lengo la kuondoa ubaguzi wa rangi?

Nafikiri yeye mwenyewe alionesha mfano kwa kufunga ndoa na Mwarabu.
 
Mkuu, ilikuwaje? Aliunga mkono ubakaji au aliwahamasisha Waafrika kuwaoa Waarabu kwa lengo la kuondoa ubaguzi wa rangi?

Nafikiri yeye mwenyewe alionesha mfano kwa kufunga ndoa na Mwarabu.
Hakukua na Waarabu wakati huo, na hakukua na Racism wakati huo, Mafarao walichofanya ni kuunganisha Kingdom zote mbili ya Kaskazini ambayo ilikuwa na Washami na Wanubi na ya Kusini iliyokuwa na Nguvu za Kijeshi na iliyokuwa na Wanubi asilimia 97% na wote wakaunganishwa na Dini moja wakaanza kuoana na kuzaana.

Ilikuwa ni Idea nzuri na ndio chanzo cha wao kujenga Mapiramidi na Culture iliyomletea Mapinduzi makubwa Mwanadamu wa leo.
8654785298_4e12e62119_b.jpg
dd83e394914590dfc4d1a8e2c5323544.png

Morden Nubians ambao bado wako Egypt na baada ya uvamizi wa Wayunani Wapersia na hatimae Waarabu ndio huu ubaguzi wa Rangi wa leo ulipoasisiwa.
 
Kumbe unajua hivyo lakini haukemei bandiko la mleta mada. Akemewe

Kwani ni uongo?


Ukisema Kwao waafrika unasema kwao wapi? Afrika siyo Nchi itoshe hayo maendeleo unayoyasema ni maendeleo yepi hayo? Kuendeleza nini?

Ndio ingelikuwa na maendeleo.

Maendeleo ni nini? na yanaonekana vipi?
Susbury
Waulize ndugu zako wa huko Ulaya na Marekani kwa nini walienda huko na kwa nini kuna maelfu ya Waafrika wanafia bahari ya Mediterranean kila mwaka kufika ulaya.
Fikiria na kukubalitulianza kama Jumuiya-watumwa-makaila-mabepari-wajamaa-kisha wakomunisti(hizi ni fikra tu).Mwafrika anaamini Toka rohoni mwake kuwa yeye ni Bora kuliko mwanadamu mwingine yeyote.angalia Mwafrika alikuwa Rais 1960 enzi za treni ya mvuke,kiongozi treni diesel,kiongozi treni ya umeme ,kiongozi enzi za standadi gechi na Sasa kiongozi enzi hizi za 5Gs,anan'gang'ana na vijana wa 5G,Kwetu maendeleo ni kubadilisha majina;badala ya boss aitwe 'ndugu' Badala ya Sulsbury tuite 'Harare'tuwaite mabeberu wao ni wazungu tu.
 
Huko Madagascar muingiliano unaenda vizuri kati ya Jamii mbili Malagasy Mongoloids na South Eastern Bantu Negroids.
 
Kumbe unajua hivyo lakini haukemei bandiko la mleta mada. Akemewe

Kwani ni uongo?


Ukisema Kwao waafrika unasema kwao wapi? Afrika siyo Nchi itoshe hayo maendeleo unayoyasema ni maendeleo yepi hayo? Kuendeleza nini?

Ndio ingelikuwa na maendeleo.

Maendeleo ni nini? na yanaonekana vipi?
Mkuu unapenda sana debate. Najua hata nikijibu, utauliza tena swali jingine. Labda wewe utuambie maana ya maendeleo, kwa mtazamo wako.

Lakini kwa ufupi, kwa lugha isiyo rasmi, maendeleo unaweza ukayadefine hivi: MAENDELEO NI KILE WANACHOKIFUATA WAAFRIKA ULAYA NA MAREKANI KWA KUWA HAKIPATIKANI KWAO, au, MAENDELEO NI HALI WATANZANIA WANAYOIFUATA AFRIKA KUSINI KWA KUWA NI ADIMU NCHINI KWAO.

Hiyo ndiyo tafsiri isiyo ya kitaalam.

Ikikupendeza, utupe ya kitaalam.
 
Wacha hizo. Hivi unajua maan ya Tekenolojia? au unaona Kuchezea tiktok ndio technology?

Kwa taarifa yako hakuna eneo lingine lelote lile duniani ambalo lilikutwa na tekenolojia ya hali ya juu zaidi ya Afrika ans in particular katika maeneo yetu ya Afrika mashariki.

Hiyo teknolojia tunayohitaji kuendelea ndio ipi na imekosekana vipi hapa kwetu?
Kwa hiyo tuseme Wazungu walikuja kujifunza teknolojia Afrika Mashariki?

Inawezekana! Na kama ndivyo, hakuna ubaya kwa Waafrika wa leo kwenda kujifunza kwa Wazungu kama mababu zao walivyokuja kujifunza kwa mababu zetu.
 
Kupanga miji,
Kudhibiti rushwa,
Mazingira bora na rafiki ya biashara,
Kuwajibika katika kutoa huduma kwa wateja kwa ubora na wakati.
👏👏👏✅🙏

Mkuu, kunywa juice kwa bili yangu ili uje kutoa nondo zingine kama hizi.
 
Mimi naamini weusi kwa asili yetu tungekuwa hatujakutana na watu weupe dunia yetu ingekuwa bora sana,iliyojaa maadili heshima mtu kwa mtu etc.
Labda mkuu utuoneshe mfano ili tuone utakavyokuwa Bora. Unaweza kujitenga nao hata sasa kwa kutokutumia chochote kilichotokana na jitihada za Mzungu:
1. Ukiugua usiendw hospitalini wala kutumia dawa ya viwandani, badala yake uende kwa mganga wa kienyeji au utumie miti shamba pekee
2. Usitumie simu, laptop, redio, tv, wala pasi ya kumyooshe nguo
3. Usinywe soda au vinywaji vyao viwandani, badala yake utumie togwa, n.k.
4. Usivae viatu wala nguo za viwandani bali viatu na mavazi yaliyotengenezwa kwa mikono kwa kutumia ngozi za wanyama na magome ya miti
5. Usipande ndege wala gari, bali usafiri kwa miguu, punda au ungo

Hebu fanya hayo machache, na baada ya muda , utupe mrejesho jinsi ubora wako ulivyoongezeka.
 
Tatizo letu ni IQ hafifu kama kuna watu walioishi karibu na watu weupe ni Waafrika Waamerika wamesoma Vyuo Vikuu huko USA lakini hawana tofauti sana na Waafrika wa Kongo ni kuimbaimba tu hata wale waliotengenezewa Taifa lao la Liberia hawana tofauti na Wasiera lione.
🤫
 
Hakuna cha kujifunza, siku hizi watu wanafanya shortcut, wanjichubuwa na kula madawa wawe weupe wawe na akili. Na kuvaa nywele za maiti wa kizungu ndiyo kuwa na akili.

Au wanatembea uchi na kuiga wanavyoongea wazungu ndiyo akili hiyo.
1. Kama watu wawili watatu wamejichubua, hakuhalalishi kusema kuwa Waafrika wameiga kwa Wazungu vitu visivyosaidia. Siyo wote wamefanya hivyo, naamini wewe hujafanya na hutafanya. Badala yake, umeiga machache tu mazuri, kama kuandika, kutumia simu, kutumia internet n.k. Vyote hivyo naamini umeiga kwa Wazungu, jambo ni jema pia. Wewe unafikiri usingejiongeza kutumia simu kama Mzungu tunafahamu kuwa kuna mwanamama aitwaye FaizaFoxy?

2. Sidhani kama ni utamaduni wa Wazungu kutembea uchi. Labda wewe kwa kuwa umeshawahi kuishi nao utakuwa unafahamu vizuri zaidi. Lakini kwa wachache ninaowafahamu, sijawahi kuwaona wakiwa uchi.

Na kwa nini watembee uchi na huku wanavyo viwanda vya nguo? Au nao wanawaiga baadhi ya Waafrika ambao mpaka sasa bado hawavai nguo?

Kama unafahamu Wazungu wanaotembea uchi, toa taarifa kwenye ubalozi wao ili wawapige marufuku kuyaiga makabila ya Kiafrika yanaoishi porini ambapo baadhi yao hawavai nguo.
 
Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.

Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.

Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.

Sikiliza country music

Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money

Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell

Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Kwani kuna kitu tumefunzwa toka chekechea ambacho sio chao ? Unataka tujifunze nini zaidi ?
Hata wao inabifi muziki wajifunze kwetu, tuko mbali sana kwenye mziki kuliko wao.
Zaidi ya country hakuna mziki mzuri kwao.
Asilimia90 tunafanya ya wazungu na warabu, labda ya wachina ndio bado hayajatamalaki.
Nyumba tunazoishi, serikali, viwanda biashara, kilimo elimu vyote tumeoga kwao.
 
Mkuu, nafikiri kuna utofauti kati ya kuiga na kujifunza. Anayeiga hucopy na kupaste. Lakini anayejifunza, hutafuta kujua kwa lengo la kuweza kufanya maamuzi bila kumtegemea aliyemfundisha.
Ndiyo maana, pamoja na kuwa mgunduzi wa ndeke alikuwa Mmarekani, lakini teknolojia hiyo imeenea kwenye mataifa mbalimbali duniani, ikiwemo China. Kilichomsaidia Mchina ni unyemyekevu wake, kwamba alikubali kujifunza kwa Mzungu na Sasa anaweza kuunda ndege bila msaada wa Mzungu.
Sahihi kujifunza kitu na kuki mold kwa utamaduni wako sio mbaya, ila ukisoma Uzi wa mtoa mada anamaanisha zaidi ya hapo, mpaka miziki, uongozi etc. Hutoboi ng'o kwa kufuata mfumo huo. Wachina hawajaendelea kwa Kusikiliza country music na kuiga Wazungu wanaendesha vipi Nchi zao.

Ukiangalia Nchi tajiri Kila eneo Zina mifumo yake ya uongozi, ni sisi Masikini tunaoiga.
 
Kuna kitu kinaitwa DEVIL 👿👿😈 INCARLINATION TRAP...

Yaan maji hufuata mkondo yaan kitoto Cha kiafrica kisicho jua chochote utashangaa kinafanya vitu vya kikubwa mpaka una staajabu kimejifunzia wapi 🤣🤣 vice versa kitoto Cha kizungu kinakua very very civilized tangu tumboni mwa mama Ake na ndio maana wanabalikiwa sanaa...

Mtoto wa kizungu anapewa laptop 💻 au simu janja au tablets tangu wadogo na wanatumia in constructive matters mpe mtoto wa kiafrika kama sio kujaza miziki na kujaza picha za uchi na pornography
Hatari Sana😭
 
Back
Top Bottom