Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Hata kama ndio anusurike kudivu?
 
Mtoa mada punguza upumbavu, kwani Nini kinashindikana? Kama alirudia kufanya mtihani na kupata vigezo vya kusoma five na six kwanini hasisome degree, acha kuleta madq za kipumbavu,tena ukomee.
Angalia muda hapo 2011 -2014
 
Huu mjadala wa matokeo ya jesca ulisha jadiliwa sana.

Ila kwa vile dada yetu huyu ameingia kwenye siasa, na ile status ya baba yake haya matokeo yake yatakuwa mwiba sana kwake.
 
Nchi hii ukiwa kiongozi wa CCM unaweza vunja Katiba na hadi Sheria na usifanywe chochote kile.

Unaweza pindisha taratibu zote na usifanywe chochote kile.

Hii nchi imeshajifia. Na hatuna Walinzi wa Katiba wala Sheria.
Pambana na hali yako mzee baba
Utapata pressure na sukari
 
Kwani miaka hiyo hapakuwa na fursa ya kurudia mitihani kama PC kwa masomo unayohitaji kurudia??
 
Wabongo kwa kulalamika bila kuhoji mko vzr
 
Fuatilia utagundua kuwa mwaka 2016 aliwafuta wanafunzi waliokwenda na elimu ya F4 kusoma degree na teaching kwenye special programme, lakini binti yake Jesca akabaki cc ministrant
Hiyo Jesca alikuwa anasoma hy special program?
 
Nyamnaf ....
Mtoto wa rais asome shule Ina watu wengi hivyo walofeli ???

Mtoto wa John alokua sekondari by the time alikuwa Fedha . Na amewah kwenda kumwona .. nenda YouTube.

Toa maelezo vizur hiyo shule ni ya kata mjinga wewe ... Umewah ona hata mtoto wa Diwan kasoma shule ya kata ???

Haya Magu alikuwa anaish dar by 2021. Hiyo shule ya kata ipo MKOA gani ???

Tz. Ni nani ameturoga shenzi sisi ??
Yaan tunaamini upuuzi puuz tu.

Hatuwezi kuweka logic ya tuvitu finyu finyu Kama Hutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…